Ushauri anataka kusoma geologist

Ushauri anataka kusoma geologist

Bonyobonyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
226
Reaction score
235
wakuu,
wasalaam,
nina rafik yangu mmoja anatarajia kuingia chuo panapo majaaliwa. wazo lake ni kusomea geology na combination anayosom ni egm .hataki banking wal uhasibu je ,inweza kumtoa hii geology? vip upatikaji wa ajira au ni coz gani mnashauri asome kulingana na mchepuo wake
karibuni kwa ushauri ,maoni, wakuu natanguliza shukran.
 
wakuu,
wasalaam,
nina rafik yangu mmoja anatarajia kuingia chuo panapo majaaliwa. wazo lake ni kusomea geologist na combination anayosom ni egm .hataki banking wal uhasibu je ,inweza kumtoa hii geologist? vip upatikaji wa ajira au ni coz gani mnashauri asome kulingana na mchepuo wake
karibuni kwa ushauri ,maoni, wakuu natanguliza shukran.
Wewe uko darasa la ngapi sasa hivi?
Mwambie asome geology ili awe geologist.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu,
wasalaam,
nina rafik yangu mmoja anatarajia kuingia chuo panapo majaaliwa. wazo lake ni kusomea geology na combination anayosom ni egm .hataki banking wal uhasibu je ,inweza kumtoa hii geology? vip upatikaji wa ajira au ni coz gani mnashauri asome kulingana na mchepuo wake
karibuni kwa ushauri ,maoni, wakuu natanguliza shukran.
Yah kwa mujib wa comb yake afadhali asome tu geology! ila mkuu ulichapia kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza title isomeke hivi "ANATAKA KUSOMA GEOLOGY"

Geology ni course ambayo ni pana nafasi za kazi ndo sina uhakika nazo ila kuna sehem/makampuni mengi yanahitaji Geologist katika kazi zao za kila siku mfano:- Oil and Gas Industry, Mining Industry, Hydrology (TMA), na mashirika mengine kama TANESCO, TGDC n.k.

Pili kuna categories za course za Geology
- Engineering Geology;
- BSc. with Geology
- BSc. in Geology;
- Petroleum Geology; and
- Petroleum Geoscience.

Kwa mawazo yangu, katika hizo naona BSc. in Geology ni nzuri zaidi maana unakuwa general hujibani sehem moja.

Wale watalaamu wa haya mambo wanaweza kuongezea ni ipi inamfaa mtu aliyesoma EGM.

Ahsante
 
Nakushauri bora akasome hizo banking na accounting,mining industry ipo down sana kipindi hiki cha jiwe,nahisi mpaka hapo sera zikibadilishwa tena na kulegezwa hapo ndo kampuni kubwa zitakuja kufanya utafiti na kumine...ila nakushauri aachane industry iko kubaya sasa hivi ...
 
Aisee kama ni passion mwache asome lakini kama ni kazi aisee mwambie atafute kozi nyingine
 
Kwanza title isomeke hivi "ANATAKA KUSOMA GEOLOGY"

Geology ni course ambayo ni pana nafasi za kazi ndo sina uhakika nazo ila kuna sehem/makampuni mengi yanahitaji Geologist katika kazi zao za kila siku mfano:- Oil and Gas Industry, Mining Industry, Hydrology (TMA), na mashirika mengine kama TANESCO, TGDC n.k.

Pili kuna categories za course za Geology
- Engineering Geology;
- BSc. with Geology
- BSc. in Geology;
- Petroleum Geology; and
- Petroleum Geoscience.

Kwa mawazo yangu, katika hizo naona BSc. in Geology ni nzuri zaidi maana unakuwa general hujibani sehem moja.

Wale watalaamu wa haya mambo wanaweza kuongezea ni ipi inamfaa mtu aliyesoma EGM.

Ahsante

ufafanuzi murua kabisa usio na swali thnks mkuu
 
Kipindi hicho hiyo kozi ilikuwa kila mtu akiikimbilia huku akitaraji mshahara mnono na marupurupu. Masikini! wengi waliograduate miaka kadhaa nyuma kabla hata ya utawala wa awamu hii wanaisoma namba mtaani.
 
Kwa upande wa geology, tatizo ni hiyo combination. Utaalamu wa madini unahitaji ufahamu wa chemistry, physics na mathematics. Geography ni muhimu lakini hata ile ya kiwango cha form four inatosha.
 
Katika kozi ambazo mtu ataniuliza nimshauri asomee ni za Biashara tu.
Cha ajabu ni ya kwamba hata waliosomea kozi za biashara nao pia wanasota mtaani. Nadhani kuna kiungo muhimu sana kinamiss kwa wahitimu waliowengi, maana haiwezekani mtu asomee degree ya biashara halafu na yeye awe anahangaika na bahasha. Watu wamesomea sales, marketing, business administration nk ila wanamiss ufunguo wa kuwatoa kimaisha hatimaye wanang'ang'ana kutafuta kazi wapate angalau mshahara wa Tsh 500,000/= kwa mwezi.

Aliyeturoga atuonee huruma.......
 
Na hili ni janga la taifa
 
ufafanuzi murua kabisa usio na swali thnks mkuu
Tayari ulishakuwa na maamuzi yako kichwani kabla hujaleta thread so unachokifanya ni kutafuta amani ya moyo,,, ushauri wangu ni kuwa soma unachopenda na uwe unajua pia jinsi kitakavyokulipa baada ya kumaliza masomo yako.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu ni ya kwamba hata waliosomea kozi za biashara nao pia wanasota mtaani. Nadhani kuna kiungo muhimu sana kinamiss kwa wahitimu waliowengi, maana haiwezekani mtu asomee degree ya biashara halafu na yeye awe anahangaika na bahasha. Watu wamesomea sales, marketing, business administration nk ila wanamiss ufunguo wa kuwatoa kimaisha hatimaye wanang'ang'ana kutafuta kazi wapate angalau mshahara wa Tsh 500,000/= kwa mwezi.

Aliyeturoga atuonee huruma.......
Ninavyofahamu mimi kwa mtu kusomea biashara anakuwa na wigo mpana sana wa ajira, sio kuajiriwa tu ila pia kujiajiri ila kuna kozi ukizisoma wewe swala la kuajiriwa ni kipaumbele. Labda ifikie mahali ujinasue kweli kweli uwe na firm yako binafsi. Tatizo kubwa ambalo nakuja kuliona na umeligusia ndugu ni hapo pa kusoma ukitegemea kuja kusambaza barua za maombi ya kazi.
 
Kwa mtu wa EGM atasoma Bsc with geology, ila Bsc in geology awe wa PCM.

SUKAH...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom