prettydiva
Senior Member
- Feb 19, 2014
- 101
- 39
Mamboz wadau.....mimi ni binti wa miaka 25,nna mpnz ambaye tuna mwaka sasa lakn mwanzo wa uhusiano wetu alionyesha kunijali sana simu kla dk,txt,zawad nk.Mwaka jana mwez wa 8 akaanza kubadilka yte alyokuwa akinifanyia hakuna tena,yy ni mwajiriwa n mm nw cna kazi baada ya ofis nlkuwa nafanya mkataba kuisha,so nmekuwa nkimuomba hata sh 20,000 anasema hana hata vocha ya 500 hanip na kupga hadi nianze mm,ss nmechoka nahs tukiingia kwny ndoa hatanisaidia.Jana nmepga cm yke kuanzia sa5-6 uck ipo busy,ksho yke namuulza eti anasema ina matatzo..nishaurin jaman kuna future au nimuache tu,plzz.