Mi mwenyewe nakushangaa. Kama mwenye shamba yuko tz na ww abroad, unapalilia shamba ili iweje? Rudisha shamba home afyeke michongoma mwenyewe.
Pole kwa kununiwa. Bembeleza bwana!
Sasa wewe kwa nini haukupokea simu hizo siku mbili za nyuma?
Hauoni kama mazingira mabaya uliyatengeneza mwenyewe?
Nampenda na tunaishi tofauti, yeye Tz na mimi nje ya Tz.
Siku mbili zilizopita alinipigia sm skupokea, katuma msg kwenye whatsap sikujibu. baada ya dakika kama 30 nikampigia na kuanza kujitete kwa mba nilikua bafuni nafanya usafi. He...!! hapo ndipo ugomvi ulipoanzia na madaiyake haswa ni:-
Kwanini nanyoa eneo hilo la kifanyio?
Namyolea nani (anione)?
Kwanini nisisubiri hadi nirudi likizo aninyoe yeye?
Au nimepata msaidizi wa fundi ndiomana napalilia kichaka?
Mimi nilikua kimyaaa wakati akinitolea tuhuma hizo hadi akakata sim yeye.
Niliamua kukaa kimya hadi siku iliyo fuata maana nilijikuta nimepata jazba kuliko kawaida. lakini chakushangaza hapokei sm, hajibu msg, whatsap, fb na airg namuona, lakini nikitima ujumbe hajibu.
Sasa najaribu kujiuliza nimekosea wapi?
Na nyie wakaka wenzangu huwa mnafanyiwa hivyo?
Ushauri tafadhali maana hata hata utendaji wangu wa kazi umeshuka na nimedhoofu kwa mawazo.
stori yako feki :A S-confused1: amejuaje !!!!!!
Hahahaa umenikumbusha mbali, nillikuwa na rafiki angu mvulana tulipokuwa chuo, akampata girl fulani hvi so wakaanza ku-date, ingawa girl alimwambia kabisa hy rafik angu that watakuwa tu kwenye mahusiano temporarily wakiwa chuo coz ana boy wake home.
Siku ya siku wakaamua wakaunganishe vikojoleo lodge huko, kufika kule lahaulaaaa dada full rastafarian, kaka ikabidi aulize jaman wewe kwa nin umefuga vuz* hvyo while kwa nje upo very smart? Dada akajibu mchumba wangu (wa nyumbani sasa) ananikataza ku-shave hadi siku naporudi likizo au akija huku kunitembelea, kufuga rasta ni sign yake kuwa sijakitembeza nje. My friend akachoka na appetite yote kushneyyyyy wakarudi 2 chuo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwa kipindi gani hamjaonana uso kwa uso?
Alionaje kuwa huko kumenyolewa?
Yeye huwa unamyoa? Vipi, kaacha kichaka au kuko jangwa?
Isije ikawa mkuki kwa nguruwe .
Achana nae, kama ni wako atajirudi, endapo sio wako atakupotezea.