Uko sahihi kabisa,bahati nzuri umeongea kitu halisi,wacongo kwa sasa idadi yao wakaribia milion 200,yaani ukichukua kenya,uganda,tanzania,burundi na rwanda kwa pamoja bado hawafikishi idadi ya watu wa congo,Mkuu umetoa hoja nzuri mno ,ni hoja inayohitaji kufanyiwa kazi kitaalaamu sio kisiasa,nimebahatika mno kutembelea sana hizi nchi za ukanda huu na sio siri kuwa taratibu tunapoteza biashara kubwa kutoka DRC KWA WASHINDANI WETU HASA NAMIBIA,SA NA MSUMBIJI,inauma mno kuona sisi ambao tupo karibu mno na DRC hatunufaiki na nchi hii,na nchi hii(DRC) NDIO FUTURE ya AFRIKA,tukiikamata nchi hii na kiufanya ipitishie bidhaa zake hapa kwetu even for 70%mabadiliko makubwa ya kimaendeleo tutayapata,ni aibu kuona mizigo yake mingi inaelekezwa kwenye bandari ya DURBAN,wakati ya kwetu ambayo ipo karibu mno na wao tumelala usingizi,ni vema kwanza our no 1 afagie kwanza nchi yetu na tujipange vema,barabara yetu ya Dar to Tunduma ni lazima irekebishwe na iwe na sifa ya kuwa ni Highway(for now ni Main rd )na tuwashawishi ndugu zetu wazambia na wao warekebishe ya kwao ,maana kutoka pale Nakonde hadi Mpika hakuna barabara ni njia za kupita vifaru tu;na to make things more bad to us Zambia wametengeneza na kuboresha barabara yao ya kutoka Livingstone hadi few kms to Lusaka(its a first class road)na wanaitengeneza ya Lusaka to Ndola na ukipita kwa sasa pale kapiri mposhi pamebadilika kabisa.na matokeo ya haya DRC WANAELEKEZA BIASHARA ZAO KUSINI SIO KWETU HUKU,na tuelewe kwa kila malori 10 ya SA YANAYOVUKA MPAKA 6 KATI YAO YANAKWENDA DRC THR ZAMBIA!!!,hopeful mtoa hoja hii our no 1 atapata muda wa kuusoma.
Sawa sawa,congo ni mhimu sana kwa biashara ya TanzaniaUshauri mzuri sana kwa wakati muafaka.Hata hao ATCL waache kurudindika midege hapo airport wafikirie Lumbumbashi.Bahati nzuri nimeishi jimbo la Katanga na hasa pale Lubumbashi. Bidhaa zao nyingi mahotelini,madukani,nk ni Made in Tanzania.Ukifika mpakani pale Kasumbalesa kwenye msururu wa KM 3-5 wa malori,~90% ya trucks zina registration numbers za Tanzania yakitokea Daresalaam.Huwezi kujua,Rais mpya anaweza kuja na mawazo mapya bora "tujipendekeze"
Facts mkuu.Mkuu umetoa hoja nzuri mno ,ni hoja inayohitaji kufanyiwa kazi kitaalaamu sio kisiasa,nimebahatika mno kutembelea sana hizi nchi za ukanda huu na sio siri kuwa taratibu tunapoteza biashara kubwa kutoka DRC KWA WASHINDANI WETU HASA NAMIBIA,SA NA MSUMBIJI,inauma mno kuona sisi ambao tupo karibu mno na DRC hatunufaiki na nchi hii,na nchi hii(DRC) NDIO FUTURE ya AFRIKA,tukiikamata nchi hii na kiufanya ipitishie bidhaa zake hapa kwetu even for 70%mabadiliko makubwa ya kimaendeleo tutayapata,ni aibu kuona mizigo yake mingi inaelekezwa kwenye bandari ya DURBAN,wakati ya kwetu ambayo ipo karibu mno na wao tumelala usingizi,ni vema kwanza our no 1 afagie kwanza nchi yetu na tujipange vema,barabara yetu ya Dar to Tunduma ni lazima irekebishwe na iwe na sifa ya kuwa ni Highway(for now ni Main rd )na tuwashawishi ndugu zetu wazambia na wao warekebishe ya kwao ,maana kutoka pale Nakonde hadi Mpika hakuna barabara ni njia za kupita vifaru tu;na to make things more bad to us Zambia wametengeneza na kuboresha barabara yao ya kutoka Livingstone hadi few kms to Lusaka(its a first class road)na wanaitengeneza ya Lusaka to Ndola na ukipita kwa sasa pale kapiri mposhi pamebadilika kabisa.na matokeo ya haya DRC WANAELEKEZA BIASHARA ZAO KUSINI SIO KWETU HUKU,na tuelewe kwa kila malori 10 ya SA YANAYOVUKA MPAKA 6 KATI YAO YANAKWENDA DRC THR ZAMBIA!!!,hopeful mtoa hoja hii our no 1 atapata muda wa kuusoma.