Ushauri : Aende wapi kati ya Muccobs na TIA?

Ushauri : Aende wapi kati ya Muccobs na TIA?

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,545
Reaction score
2,486
Amechaguliwa Vyuo Viwili, Cha Ushirika Moshi (Muccobs ) katika kozi ya Business information and communication technology

Cha pili ni TIA (dsm) kozi ya Business Administration.

Sifa za mdahiliwa
+Anapenda ujasiriamali (ufugaji na kilimo ) hivyo anataka sehemu ambayo ataweza kufanya ujasiriamali

+Anapenda exposure (kujifunza, kusafiri sana )

Hivyo karibuni kwa ushauri
Screenshot_20190821-191202.jpeg
Screenshot_20190819-214635.jpeg
 
Back
Top Bottom