KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,058
- 4,952
Labda anunue tu TV Guard/Stabilizer mnaita sijuiMkuu mimi binafsi sioni kama kuna matunzo ya ziada ninayoyafanya, nikiitundika ukutani imetoka hiyo sansana huwa inafutwa vumbi tu kama tunavyofanyaga kwenye Tv ya aina yoyote.
Nilitaka kustuka kuwa mbona bei ka za Hisense madukani!!Bei ya jumla, kwa dealer. Kama unahitaji
Unatumia jina langu la uwakala, nakupeleka unachukua Tv then unanipa commission yangu.
Nilinunua hisense mtumba from uk kiukweli sijutii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Uraji ndio nini?Tv mpya za Hisense hazina ubora? Na vipi uraji wake wa umeme mkuu?
Yani kumbe mnajuaUlaji mkuu
Yani kumbe mnajua
Huwa mnafanya kusudi?
Chukua 63
Tuna 65' hapa i loove it
Tulikosa 70'
Hisense wanaleta vitu vizuri sana sikuhizi
Kukomaa na Samsung ni kama kukomaa na Motorola zama za iPhone
Sijui kwa kweliUlaji wake ukoje dada?
Sina dukaUnalo duka? 65 beigani?
Mkuu Samsung na LG ndio producer wakubwa kabisa wa display, iwe ni Oled, mini led, micro led, Qled etc wao ndio pioneer.Naona watu wanaponda tu hapa wakati kuharibika kwa TV zao wakati mwingine ni shida ya umeme mchafu wa Bongo...
Hisense, TCL, Haier, Skyworth, Changhong, Konka hizi ni brands kubwa China, tuliowahi ishi China tunazijua ubora wake...
Hawa wote ni wakongwe na wamekuwepo toka miaka ya 80 enzi za TV za kichogo...
Utofauti ni kwamba brands kama LG, Sony, Samsung zina umaarufu kwa sababu ya kutengeneza si TV tu...
Mkuu vitu kama tv ama laptop ngumu ku recomend kwa model, unatakiwa ufahamu specification, Kikawaida dukani wanatakiwa wafahamu hivi na vitolewe kwa wateja ila kibongo bongo haya mambo hayafanyiki.Sasa ndugu Chief-Mkwawa hizo taarifa za tv ukifika dukani unamuuliza muuzaji au unampatia au unazikuta kwenye box? Kwa vitu kama simu unaenda dukani umeshajua kabisa kuwa nachukua iphone fulani na ukifika unamwambia tu kwa tv naona mambo memgi mara 2k mara QLED mara resolutions nk
Ahsante mkuu umeniambia jambo la maana. Kwahiyo uma recomend model zipi kwa sasa ambazo ni smart tvMkuu vitu kama tv ama laptop ngumu ku recomend kwa model, unatakiwa ufahamu specification, Kikawaida dukani wanatakiwa wafahamu hivi na vitolewe kwa wateja ila kibongo bongo haya mambo hayafanyiki.
Vyema nenda na simu dukani chukua model google, full model kule nyuma.