USHAURI: 63" Hisense Vs 55" Samsung

Mkuu kifupi content unayo sana asiye elewa madini haya mimi namusikitikia sana Kwakweli.
 

Mkuu, kwema?

Nataka kununua Hisense tv, za kutoka south Africa, je! Imara mkuu wangu?
 
Mkuu angalia budget yako na tv unayonunua, mimi sio muumini wa Viwanda, as long as tv inakuwa supported haina neno. Hivyo ni viwanda vya kupachika tu, its not like wanatengeneza from scratch.

Ni hdr or qled ipi ni nzuri mkuu?
 
Hata mimi nashangaa watu wanaposema Mbovu, nimeshanunua 3 mwaka wa 4 huu, hakuna hata moja inasumbua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…