Mkuu naomba uelezee vizuri hapa ili tupate shule piaKwa ulimwengu wa sasa mkuu angalia HDR standard gani zipo,
Mfano HDR10, Hdr10+, Dolby Vision etc. Ungeweka model ningekuchekia, maana 4k kama 4k haina maana sana bila hizo standard.
Kwanini mkuu wangu nyingi zinazingua?Beba samsung hio hisense itakutia mimba ndani ya mwaka tu
Yah hisense ina cheap materials halafu they are not meant to last. Its a low budget tv mzaeKwanini mkuu wangu nyingi zinazingua?
Hdr ni kifupi cha High dynamic range, Display za zamani zenyewe zinaitwa Sdr, yaani standard dynamic range.Mkuu naomba uelezee vizuri hapa ili tupate shule pia
Ukibahatika za Kichina unaweza pata ya kukusogeza japo miaka 2. Mimi nilinunua TCL mwezi Oktoba, 2017; imekuja kuzingua mwaka huu, 2022. Miaka 4 na nusu, Si haba!Yah hisense ina cheap materials halafu they are not meant to last. Its a low budget tv mzae
Labda nipo makini kwenye matunzo, Hisense last year nimenunua ya tatu mara zote hakuna iliyoniangusha. Yaani kubadili kwangu ni kutakana na kuhisi tu moja imepitwa na wakati nanunua latest versions. Ni ngumu sana kunitoa kwenye hii brand nimetokea kuiamini sana.Yah hisense ina cheap materials halafu they are not meant to last. Its a low budget tv mzae
Cha muhimu ni hio warranty mkuu tena ya maandishi na sio kauli tamu za wauza duka.Hisense sio tv mbaya
Ni tv zili designiwa kwa watu wenye low budget
Ni kama vile watu wanakuambia iPhone ni better kuliko simu singine lakini Hisense kila siku wanakuwa wabunifu na wanafanya vizuri sokoni.
Ushauri wangu nunua tv kutokana na budget yako lakini sio kusema Hisense ni tv mbaya au zina haribika haraka.
Quality na rangi ni kali pia.
Hisense TVs come with a wide variety of panel types. You can find models with ULED, QLED, and even OLED panels technology. This means that you can pick from a wide selection of panel types if you decide on a Hisense TV. Conversely, Samsung TVs only use the company's proprietary QLED technology.
Muhimu upewe waranty.
You must be lucky usiache kununua kwa huyo huyo dealerLabda nipo makini kwenye matunzo, Hisense last year nimenunua ya tatu mara zote hakuna iliyoniangusha. Yaani kubadili kwangu ni kutakana na kuhisi tu moja imepitwa na wakati nanunua latest versions. Ni ngumu sana kunitoa kwenye hii brand nimetokea kuiamini sana.
Binafsi Hisense hawajawahi kuniangusha kwenye bidhaa zao.. nna frij na freezer zao.. mwaka wa 10 huu kitu bado NON-FROST na nna TV yao mwaka wa 4 ipo kwenye Biashara huu haina matatizo yoyote.Labda nipo makini kwenye matunzo, Hisense last year nimenunua ya tatu mara zote hakuna iliyoniangusha. Yaani kubadili kwangu ni kutakana na kuhisi tu moja imepitwa na wakati nanunua latest versions. Ni ngumu sana kunitoa kwenye hii brand nimetokea kuiamini sana.
Okay! You mean fake zake zipo nyingi sana sokoni, right? Ni kweli nanunua kwa authorised dealer na ya kwanza niliinunuaga China ni ya kichina kila kitu.You must be lucky usiache kununua kwa huyo huyo dealer