Ushauri: 400,000/= Ninunue LAPTOP aina gani?

Dah, jamaa nimependa profile status yako aseee...

Join Date : 5th June 2009
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received
0
Likes Given
0

Safi sana mkuu:A S 41:

kikosi maalum
 
shukrani mkuu
 
mimi nauza laptop Hasee Notebook bei ni 250,000.niPM mkuu
 
Mkuu hii 6+ cell ni aina ya battery? Inauzwa kama bei gani?
 
Hata brand new zina matatizo mkuu. Mimi nilinunua toshiba kutoka dar. Nilikuta ina tatizo la kutopunguza mwanga.
Ukiangalia kioo tu kwa dakika 1 macho yanauma.
Nilishindwa kurudisha kwa sababu niko mbali mkoani.
 
Hujaeka driver za graphics ndio maana haipunguzi mwanga eka full name ya laptop yako utapewa link ya driver
 
Mkuu hii 6 cell ni aina ya battery? Inauzwa kama bei gani?

Nikisema 6 nilimaanisha 6 na kuendelea. Pia unatakiwa kuangalia na mah ila Mara nyingi battery zenye cell 6 zinakuwa na mah nyingi pia.

Hizi Ni extended battery zinakuwa kubwa na zinaifanya laptop ikae na chaji sana ila Na kubwa kiumbo pia laptop haitakaa vizuri juu ya Meza.

Pa kuzipata kirahisi Ni eBay ila hata mitaani unaweza jaribu bahati yako
 
Me sio mtaalam wa hzo mambo ila km yenye ram 4gb na memory isiyopungua 500gb inaweza ikawa sh.ngp
 
Me sio mtaalam wa hzo mambo ila km yenye ram 4gb na memory isiyopungua 500gb inaweza ikawa sh.ngp

ram na hard disk visikusumbue kaka, laptop nyingi unaweza ongeza mwenyewe. unaweza pata 4gb ram na 500gb hdd kuanzia laki 5 kupanda juu. ila pc ya laki 5 yenye 4gb ram na hdd ya 500 itakuwa na processor dhaifu.

tafuta atleast i3 ya 4th generation na hi 4gb ram na 500gb hdd, niliwahi ona moja ina i3 4030u kwa laki 6 pale uhuru.

ukumbuke i3 mpya ina nguvu kuliko i5 au i7 ya zamani, i5 na i7 mpya zina nguvu zaidi. hivyo hakikisha ukinunua laptop usiangalie jina i3/i5/i7 bali angalia upya wake. na upya unaangaliwa kwa namba ya kwanza ya processor. ikiwa i3 4xxx au i3 5xxx basi ni mpya
 
asante kwa kunielewesha lkn hzo namba za processor si znakua zmeandkwa nje ya laptop au
 
asante kwa kunielewesha lkn hzo namba za processor si znakua zmeandkwa nje ya laptop au

hapana zinakuwa ndani, unaenda my computer una right click then properties.

alternative ni kugoogle kwa kuandika jina la processor na aina ya laptop.

mfano lenovo g510 i5

result zikija utaona g510 imekuja na processor yenye namba ipi.
 
ankha....asante sana
 
Hujaeka driver za graphics ndio maana haipunguzi mwanga eka full name ya laptop yako utapewa link ya driver

Mkuu laptop yangu ni Toshiba Satellite NB10 - A986

Nitashukuru sana ukinisaidia hiyo linki mkuu
Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu laptop yangu ni Toshiba Satellite NB10 - A986

Nitashukuru sana ukinisaidia hiyo linki mkuu
Chief-Mkwawa
kaka support ya toshiba ni kimeo sana driver zao wanazificha inakuwa tabu kuzipata bila kujua region yako.

una windows ya 64bit na processor yako ni celeron n2810?

driver zako ni hizi
https://downloadcenter.intel.com/download/23321/Intel-HD-Graphics-Driver-for-Windows-8-8-1-64-bit

kama huna windows hio au processor hio nitajie windows yako na processor yako ili nkutaftie kwenye site ya intel badala ya hao toshiba
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nina window 7
Processor: Intel (R) Celeron (R) CPU N2830 @ 2.16GHZ

Nitashukuru sana mkuu Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nina window 7
Processor: Intel (R) Celeron (R) CPU N2830 @ 2.16GHZ

Nitashukuru sana mkuu Chief-Mkwawa

hapo umedowngrade toka 8 kuja 7 so driver zote toka intel hazitafanya kazi sababu zenyewe zimetengenezwa zifanye kazi na windows 8.

hebu test hii driver utility ya intel
Intel® Driver Update Utility
install halafu open itascan pc then kama driver ipo outdated watakupa option ya kudownload
 
Last edited by a moderator:

mkuu Chief-Mkwawa nimejaribu zote zimegoma. Vipi nikijaribu kupiga chini window 7 nikaweka 8 ?
Samahani kwa usumbufu lakini chief
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…