Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Kumaliza upesi = Kumaliza bia ya kwanza in 30 seconds.Hivi jamani hili swali linaeleweka kweli? KUMALIZA UPESI na KUWAHI kuna tofauti gani? Mimi sijaelewa swali!
Kuwahi = Kufika kwa mkoloni 30 seconds kabla ya muda wa kuripoti.
Thanks to my sponsor SERENGETI LAGER!