ushaur wenu naomba

I knw dat ukipenda boga upende n uwa lake, bt dere a thngs whch m2 hajaumbwa navo n pis havina faida, so sio vbya ukitry kumbalisha m2 n kwa faida yke o?
catharine, whats wrong with you why dont you spell correctly? mmmmmhhhhhhhh! too much childish bhana!
 
Last edited by a moderator:
Unajua y? Cos its km akivuta iyo bang ya kupitiza o anafanya uhuni mambo mbya, mostly anavuta wen he z stressed out,
N nahofia dat if nkiiachana n yy ctompata mwngne km yy. Ujue maisha ck iz c rahc kupata m2 akakupenda kkthamin n kuwa n ww kw chochote...
 

Sasa kama hawezi hili swala si utafute anayeweza....
 
Hey plzz m m2 mstarabu, so cpend m2 kunjia juu n ki2 ambacho cwez kuukihandle, if huwez kuongea un i polite way plz just bora nyamaza 2, o km neno hujafahamu niambie kw ustarabu plzzz
 
I knw dat ukipenda boga upende n uwa lake, bt dere a thngs whch m2 hajaumbwa navo n pis havina faida, so sio vbya ukitry kumbalisha m2 n kwa faida yke o?
nature ya mtu haibadiliki labda kama unataka awe pretenderrrrrrrrrrrrrrrr kua amechange.
 

mshirikishe dada yako akushauri!
 
Sio nature yke bt circumstances 2 zimemfanya awe ivo,, sio km anapenda, bt kuna vi2 vinampelekea afanye ivo
 
, hajawah kuniende kinyume kwny mapenz, bt vi2 ivo kumwmbia afanye anasems hawez, nikikjazania ugomvi nam4ce, naomben ushauri wenu? Nifanye nn coz nimetry sana kumwmbia aache bt hatekelez
Excuse me!!
 
Cna dada,, m ndokubwa, n nhc cwez kuwamin m2 yoyote kumwmbia
 
Andika vizuri basi maana kukata kata hurufi kama unakigugumizi wengine ni old fashion bibie
 
Cna dada,, m ndokubwa, n nhc cwez kuwamin m2 yoyote kumwmbia
Catherine, huwezi kuandika kiswahili au kiingereza kilichonyooka? Kumbuka humu kuna marika tofauti, wengine wameshakuwa watu wazima hawaelewi, wengine wakiona mwandiko huu hawajisikii tena kutoa ushauri

Tafadhali jaribu kuandika kiswahili/kiingereza kilichokaa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Ok ntajitahidi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…