ushaur wenu naomba

ushaur wenu naomba

catharine

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
30
Reaction score
4
M ni msichana wa miaka 21, na mpenz wang ambae ni 25, kiukwl our relation started as a joke, coz ye aliku anampenz wake anampenda sana alishi nae kw miaka mine, bt later on alikuja kumsaliti, then he met me we became frnds, den widout realizin we fell 4 each other, nampenda na yeye ananipenda sana nashkuru mungu kwa ilo but tatizo lunakuja ivi, yey ni mbanian bt alislimu, ila tng najuana nae kuna vi2 vingi anafanya na it proves that he loves, hajawah kufanya kitu ambacha kingepelekea kumsuspect kuniendea kanyume, but nachoshindw kumuelewa, yey anavuta cgara, bang, analewa, haswal, ni vitutu ambavo muislam yoyote hatopenda, hajawah kuniende kinyume kwenye mapenz, bt vi2 ivo kumwmbia afanye anasems hawez, nikimkazania ugomvi namforce, naomben ushauri wenu? Nifanye nn coz nimetry sana kumwmbia aache bt hatekelez,
 
Unataka tukushauri nn sasa,just follow ur heart,afu mbona unajitetea kwamba hatumii kabang
au unataka atumie
 
Ningeelewa ulichoandika ningekushauri......lakini nimetoka kapa...... kwani ulikuwa unasemaje.........?
 
huyu sidhani kama anajitambua!!
 
M ni msichana wa miaka 21, na mpnz wng ambae ni 25, kiukwl our relation started as a joke, coz ye aliku anampnz wke anampenda sana alishi nae kw miaka mine, bt later on alikuja kumsaliti, den he met me we became frnds, den widout realizin we fell 4 each other, nampenda n n yy ananipenda sana nashkuru mungu ke ilo bt tatizo lunakuja ivi, yy ni mbanian bt alislimu, ila tng najuana nae kuna vi2 vingi anafanya n it proves dat he loves, hajawah kufanya ki2 kiacho nifanya o kupelekea kumsuspect kuniendea kanyume, bt nachoshindw kumuelewa, yy anavuta cgara, bang, analewa, haswal, ni vi2 ambavo muislam yoyote hatopenda, hajawah kuniende kinyume kwny mapenz, bt vi2 ivo kumwmbia afanye anasems hawez, nikikjazania ugomvi nam4ce, naomben ushauri wenu? Nifanye nn coz nimetry sana kumwmbia aache bt hatekelez

Mchunguze... Inawezekana na kitimoto pia anapiga...
 
K, m sioni sababu ya kuchunguza coz haniendie kinyume, just ushaur wenu nimfanyeje aache ayo mambo
 
K, m sioni sababu ya kuchunguza coz haniendie kinyume, just ushaur wenu nimfanyeje aache ayo mambo

hebu nikumbushe washihiri wana asili ya wapi tena..Iran au Pakistani, nimesahau kidogo

Kuhusu huyo mpenzi wako, unafahamu methali ya ukipenda boga penda na ua lake? Huwezi kukuta kwamba kila kiyu anachofanya unakipenda..hakuna mwanaume wa namna hiyo, so jaribu kumvumilia...suala la kuswali ni la kibinafsi zaidi na maadam hamjaoana, usilisisitize sana manake naona dhahiri mtakosana tu. Ukiona huwezi kuvumilia hizo tabia zake, ina maana hakuna mapenzi hapo
 
Kuna msemo mimi ninauamini sanaaa! LOVE ME AS I AM!!!!!!!!!!

Kwanini watu wanatabia jst simply unampenda basi anataka akudictate nini cha kufanya, nini cha kuongea na nini cha kula!

WHY CANT YOU JUST LOVE SOME ONE N LET THEM BE THEMSELVES!!!!!!!!!! Kama enzi za utmwa afanye kukurizishaa! N the worst part hata akifanya kukurizisha HUTORIZIKA! U will keep demanding more n more! Khaaaaaaa!

Ndo yale yale Buzi langu moja lilipiga si uache hio kazi coz hela nayokupa ni zaidi ya mshahara huo! Msheeeeeeeeew! Nikamjibu sio kuwa naenda kazini kufata hii hela ya mboga, bt ku socialize, kujungua kidogo, kusengenya kidogo, umbea umbea! Siku inaisha Burudaniii!!!!! Nikishinda ndani siku nzima gubu langu utaliweza?

Na wewe bi dada huyo mshihiri akiacha hivo vitu hilo GUBU lake hamtodumu robo saaa. Apart frm being your man, he still a man, with personal feelings n ambitions. Sio kisa bwana wako basi maisha yake ya simame na kukuhudumia wewe mfalme.
 
M ni msichana wa miaka 21, na mpnz wng ambae ni 25, kiukwl our relation started as a joke, coz ye aliku anampnz wke anampenda sana alishi nae kw miaka mine, bt later on alikuja kumsaliti, den he met me we became frnds, den widout realizin we fell 4 each other, nampenda n n yy ananipenda sana nashkuru mungu ke ilo bt tatizo lunakuja ivi, yy ni mbanian bt alislimu, ila tng najuana nae kuna vi2 vingi anafanya n it proves dat he loves, hajawah kufanya ki2 kiacho nifanya o kupelekea kumsuspect kuniendea kanyume, bt nachoshindw kumuelewa, yy anavuta cgara, bang, analewa, haswal, ni vi2 ambavo muislam yoyote hatopenda, hajawah kuniende kinyume kwny mapenz, bt vi2 ivo kumwmbia afanye anasems hawez, nikikjazania ugomvi nam4ce, naomben ushauri wenu? Nifanye nn coz nimetry sana kumwmbia aache bt hatekelez

Hapa tuongee kiutu uzima, we want to save life here, kuna maisha yanaelekea kupotea hapa wanaJF!

Look catharine,
wewe ni binti mdogo sana, hayo maji ni marefu sana kwako(bangi, etc etc)
jitahidi kukumbuka kisa cha ray c na lord eyez

Sio siri huyo mpenzi wako sio sahihi kwako kwa sasa, labda kwa baadae wakati umepata exposure kadhaa hv!

Believe me, unabeng' kwenye ukanda hatari sana!

ACHANA NAE AS SOON AS POSSIBLE, UNACHELEWA SANA!

Note:
ukiogopa kufanya maamuzi sahihi kwa ajili yako mwenyewe no body else can! Most men have never been honest at love point, atakutumia kama kondom halafu anakutupa kule then anachukua mtoto mwingine mbichi, anabeng' nae!
 
Last edited by a moderator:
I knw dat ukipenda boga upende n uwa lake, bt dere a thngs whch m2 hajaumbwa navo n pis havina faida, so sio vbya ukitry kumbalisha m2 n kwa faida yke o?
 
Kuna msemo mimi ninauamini sanaaa! LOVE ME AS I AM!!!!!!!!!!

Kwanini watu wanatabia jst simply unampenda basi anataka akudictate nini cha kufanya, nini cha kuongea na nini cha kula!

WHY CANT YOU JUST LOVE SOME ONE N LET THEM BE THEMSELVES!!!!!!!!!! Kama enzi za utmwa afanye kukurizishaa! N the worst part hata akifanya kukurizisha HUTORIZIKA! U will keep demanding more n more! Khaaaaaaa!

Ndo yale yale Buzi langu moja lilipiga si uache hio kazi coz hela nayokupa ni zaidi ya mshahara huo! Msheeeeeeeeew! Nikamjibu sio kuwa naenda kazini kufata hii hela ya mboga, bt ku socialize, kujungua kidogo, kusengenya kidogo, umbea umbea! Siku inaisha Burudaniii!!!!! Nikishinda ndani siku nzima gubu langu utaliweza?

Na wewe bi dada huyo mshihiri akiacha hivo vitu hilo GUBU lake hamtodumu robo saaa. Apart frm being your man, he still a man, with personal feelings n ambitions. Sio kisa bwana wako basi maisha yake ya simame na kukuhudumia wewe mfalme.
lara 1 una point kubwa sana, tena sana, lakini many things such as ages and exposure should not remain constant!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom