Ushaur wenu,jimama linanipenda

Ushaur wenu,jimama linanipenda

By mapizi

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
31
Reaction score
6
Jimama moja hapa mjini kwetu limetokea kunipenda sana kimapenzi eti,,eti linasema nilikubalie kabla ya yote tukapime afya zetu ndo tufanye mapenzi

Jimama lenyewe pesa usiulize ni za kutosha, ili jimama umri wake miaka 39 mimi miaka 20 dah! hebu nisaidieni kwa ushauri.
 
ah huyo wee mgegede tuu...sii kasema kuwa mkapime so itakuwa anataka raha ya kugegedwa na young blood au anaweza kuwa anatafuta utajiri...masharti ya mganga
 
Size yako hiyo; umri kwenye mapenzi hauna nafasi ila kumbuka ni kifungo / jera ya kimapenzi hiyo. Yana mbinu hayo .... hutafurukuta hata siku 1
 
kama kasema mkapime kwanza ujue huo ni mtego. Anajua lazima utakubal, ila huwez jua, pengne hayo ni masharti yake aliyopewa na mganga wake. Fuatilia vizur isije akawa anawatoa kafara vijana kama nyinyi.
 
leo una topics za kishamba kweli, sio lazima uanzishe mada
 
kakupenda anataka akutumie akung'oe spring za kiuno
akili ni nywele
 
Mdogo wangu acha haraka na maisha umri wako ni wa mwendo mdogo.. Hizo hela zake zisikutishe sanaa..
Anyway sikio la kufa halisikii dawa..
 
Jimama moja hapa mjini kwetu limetokea kunipenda sana kimapenzi eti,,eti linasema nilikubalie kabla ya yote tukapime afya zetu ndo tunanii..jimama lenyewe pesa usiulize ni za kutosha, ili jimama umri wake miaka 39 mimi miaka 20 dah!.,ebu nisaidieni kwa ushauri.

jiweke hapo weye!!!
kama hulitaki mpasie babumapunda anashida nalo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu safari ni hatua, na kupanga ni kuchagua, Age is nothing but a number, kapime, kisha uendelee na mapenzi na huyo mpenzi wako mpya! hongera kwa kupendwa!
 
wala hata sio jimama sana!
na ulivyomuongelea utasema sio binadamu!
mpasie Babumapunda lol!

 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni njia ya kukumaliza, anataka akusisitize mkapime ili kuku-implicate na baadae atakuambia haina haja anakuamini na anajua utaichukulia kama breaking news.

Sikuungi mkono kwa vyovyote kumkubalia, Unastahili zaidi ya hayo. Value your self you have a long way to go. Akose wa rika lake hadi wewe? huyo anakuzaa kabisa 39:20, Shame.

kama kasema mkapime kwanza ujue huo ni mtego. Anajua lazima utakubal, ila huwez jua, pengne hayo ni masharti yake aliyopewa na mganga wake. Fuatilia vizur isije akawa anawatoa kafara vijana kama nyinyi.
 
We ndo kwaaanza unaanza maisha,liambie likatafute jibaba lenzie.
 
BABUMAPUNDA me ntakupasia ilo zigo naona wadau wengi sana wanadai nikupasie unayapendaga.
 
Back
Top Bottom