From jamaa yangu
Ameoa ila michepuko alaaways kwa wanaume haikosagi
Kuna mchepuko alipata mwaka jana Feb wakaanzisha mahusiano badae akaja gundua yule mchepuko ana mtu wake ambaye anamuweka mjini mpk kodi ndo analipa(na huyu mtu ni mme wa mtu)
So jamaa yangu ndo alikuwa mchepuko wa dem ikabid afunguke kwa dem kuwa hata ye ana mke dem akachukulia poa
Wakaendelea kuiba bila mlipa kodi kujua ila jamaa anadai ye na dem wana bond atari
Sasa bahati mbaya dem akanasa mimba na akamwambia jamaa nina mimba na am sure ni yako.
Jamaa akakubali ila wakaamua wasubir mtoto wapime dna
Dem anafanya kazi so anajiweza kimtindo so akampiga chini yule mtu wake wa kwanza akabaki na mshkaji wangu
Sasa mimba ina miez nane sasa mwez ujao anajifungua na jamaa yangu huwa anamsaidia majukum dem ingawa dem hatak anataka uwepo wa jamaa mpk akijifungua
Issue imekuja kwao dem wamejua na wanataka dem akajifungulie kwao ila wanamtaka baba wa mtoto akajitambulishe
Dem amewaamaabia hawna mpango wa kuoana ila kwao wamegoma wanamtaka baba wa mtoto waongee nae
Shida ni moja baba wa mtoto ni nan? Ingawa jamaangu ndo anasimama now kama baba wa mtoto ila ye na mwanamke walishakubaliana hilo litakuwa sahihi mpk wakipima na dem yuko oky na hilo
Jamaa katuomba ushaur afanyeje? Anaendaje kujitambulisha kwa mimba ni yake wakat hayuko sure kama ni yake?