We unaoa mke ama mama mkwe?Npo ktk mahusiano na msichana na tuna mpango wa kufanya utambulisho lakin mama ake na binti hanitak kwa sababu kuna kijana alikuwa anampenda na alitaka amuoe binti yake lakin msichana alimkataa huyo kijana na anataka kufunga ndoa na mimi.
Nami nampenda sana.
Naomba ushaur wadau nifanye nn?
...
.......weka ndani ila tambuwa unakaa na KICHECHE!!!
KAMA NJIA ZA KIDIPLOMASIA ZIMESHINDIKANA TUMIA ZA KIVITA!!!!!! Tundika kitambi tu, mama mkwe atakulamba miguu umuoe bintiye!
Go on with your programs,hayo mambo yamenikuta ata mimi na maisha yanaendelea..cha msingi ni huyo binti kuwa na msimamo kila kitu kitakua sawa tu..
Npo ktk mahusiano na msichana na tuna mpango wa kufanya utambulisho lakin mama ake na binti hanitak kwa sababu kuna kijana alikuwa anampenda na alitaka amuoe binti yake lakin msichana alimkataa huyo kijana na anataka kufunga ndoa na mimi.
Nami nampenda sana.
Naomba ushaur wadau nifanye nn?
KAMA NJIA ZA KIDIPLOMASIA ZIMESHINDIKANA TUMIA ZA KIVITA!!!!!! Tundika kitambi tu, mama mkwe atakulamba miguu umuoe bintiye!
Changamoto iko wapi hapo????!!!!Nahisi harufuu ya mambo ya Anaufooo hapa, kama hupendwi na mama mkwe ni changamoto kubwa sana