Ushaur jamani

Ushaur jamani

Mafaka

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Kuna kaka angu nw anamiaka kma 38 lakn hakubahatka kupata elim lakin cku hz amekuwa kero kwnye familia yetu
 
It seems nyie ndo problem cos kwa jins ulivyopost Hapa habar haieleweki....

Kwann yy hajasoma??
Ana mke/ watoto or still single??
Je unahisi kwann amebadilika???
Je wajua thinking capacity yako na yake si sawa??
Mnampenda , kumheshimu na mmamsikiliza pia mambo ya kifamilia mnamshirikisha ktka decision making au ndo mnamtenga

Embu funguka ili tukushaur
 
Acha Dhereu Dogo,, kwa kuwa Braza hajasoma ndo unamuona kero?
 
Aiseee umeandika kitoto sana.
 
Kuna kaka angu nw anamiaka kma 38 lakn hakubahatka kupata elim lakin cku hz amekuwa kero kwnye familia yetu

inaonesha mna mdharau sana ............. Uandishi wenyew unaonesha dharau zmekujaa lakin kichwan bado hautoshi
 
aisee kweli usipokuwa na pesa utadharaulika mpaka na watoto wadogo...

muoneni huyu anavyosemwa na mdogo wake hapa..
 
Dharau si nzuri hata kidogo, jirekebishe....halafu sema sasa amefanya nini?
 
aisee kweli usipokuwa na pesa utadharaulika mpaka na watoto wadogo...

muoneni huyu anavyosemwa na mdogo wake hapa..

aisee! Umaskin mbaya sana. Hakuna kitu nachokichukia kama umaskin. Kama huyu dogo usikute kaungaunga kulisit sahvi amepata kredit anaanza kujiona msomi
 
aisee! Umaskin mbaya sana. Hakuna kitu nachokichukia kama umaskin. Kama huyu dogo usikute kaungaunga kulisit sahvi amepata kredit anaanza kujiona msomi

na hapo ukute hata hajawahi kutoa wazo lolte la maana kwa kaka yake zaidi ya '' brother i need a tuition fee ''!

halafu hapa yuko mbele kumsema negatively! vijana hawa nidhamu inashuka sana siku hizi!
 
inaonekana umesoma lakini hujaelimka.
wew mwonyeshe dharau vyovyote unavyoweza lakin atabaki kuwa ndugu yako.
kusoma sana sio kigezo cha kuwa na mafanikio, kuna ambao hawajasoma na wana maisha mazuri zaidi ya waliosoma

huyo ni ndugu yenu lazima muonyeshe njia ya salama ya kutoka hapo alipo na kusonga mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom