Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

Kivipi asiende mkuu mimi nimejibi kutokana na vigezo vyao mkuu sijajitungia kichwani mkuu kwani barua yao ipo kuhusu vigezo ,namba moja inasema awe na credit kuanzia masomo matatu kati ya saba lkn dini au mosomo mengine ya ziada yasiwe miongoni mwa hizo, mbili inasema awe na point 3 hadi 10 ktk mosomo matatu ya tahasusi Lkn F Isewe miongoni mwa hizo sasa kutokana na vigezo hivyo CCD ni point kumi .Hivyo sifa za kwenda kidato cha tano kusomea PCB anazo
chukua hii mkuu wengine wanakujibu from hisia mimi pia nimeiona barua ni sahihi alichosema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chukua hii mkuu wengine wanakujibu from hisia mimi pia nimeiona barua ni sahihi alichosema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani naomba nifafanulie hapa mfano mtu hakufanya physics akarudia mtihani wa physics akapata C cheti kikawa hivi

Phys c
Chem D
Bios c
Engl D
Geo D
Kisw C
Civ D
hist F
Math F

Huyu anaweza kwenda advance kwa PCB na akafanya mtihani wa kidato cha sita bila shida?
 
advocate kiza huyu vipi?
 
Amna noma mkuu.
Na akisoma advance private akapiga fresh anaweza kwenda degree katika vyuo vya serikali mkuu?

Pcb bwanaa
Mkuu Huyu Ni Private As Long As Ana Credit 3, Kwa Govt Hata Kama Angepata Division One, Kwa Kuwa Ana Cheti Cha Kuunga Unga(samahani Lakini) Ingemuuwia Vigumu Kudahiliwa,
 
Anaweza, lakini private.
Mkuu samahani naomba nifafanulie hapa mfano mtu hakufanya physics akarudia mtihani wa physics akapata C cheti kikawa hivi

Phys c
Chem D
Bios c
Engl D
Geo D
Kisw C
Civ D
hist F
Math F

Huyu anaweza kwenda advance kwa PCB na akafanya mtihani wa kidato cha sita bila shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio anaweza kusoma advance, lakini private-(special needs program).
Mkuu samahani, je hiyo barua naweza kuipata? Nia yangu ni nzuri.

Kuna kijana namsaidia.
Anataka kusomea PCB lakini ufaulu wake upo hivi.
History D
Kisw D
Geo C
E/language D
Civics D
Bios D
Chemistry C
Phy D
B/ math C.

Je hata nikimpeleka private au kwenue hizi open school, anazo sifa za kufanya mthihani wa kidato cha sita kwa tahasusi ya Pcb?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom