Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

Nimefanya uchunguzi tangu matokeo yametoka, hakukuwa na mahala hawa watoto walifaa kushindwa... Sasa kama wanaanzia na matokeo haya huku mtaan watakuwa na matokeo gani!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes wanateleza kwa kuwa na pressure ya mtihani, but kwa sasa naangalia jinsi ya kumsaidia katika elimu.
 
Bwana advocate bana usicheke bana..hawa vijana wamekuja mtaani na matokeo yametoka watu wameshachagua kazi zao... Kama mimi nina litoto huku nyumbani tangu matokeo yametoka hajawahi kuonekana nyumbani.. Nasikia na kazi ameanza huko aliko, nimewaomba wasinitajie tuu ni kazi gani anafanya bana.. Angalau niishi kidogo maana najua haitakuwa kazi yenye akili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes wanateleza kwa kuwa na pressure ya mtihani, but kwa sasa naangalia jinsi ya kumsaidia katika elimu.
For Sure Mkuu, Mimi Nilikuwa Sisomi Kivile Ila Ila Nilikuwa Najua Kujibu Maswali Hatari Hasa Civ, Hist, Madogo Weng Wanakesha Ila Hawajui Kujibu Pepa
 
Bwana advocate bana usicheke bana..hawa vijana wamekuja mtaani na matokeo yametoka watu wameshachagua kazi zao... Kama mimi nina litoto huku nyumbani tangu matokeo yametoka hajawahi kuonekana nyumbani.. Nasikia na kazi ameanza huko aliko, nimewaomba wasinitajie tuu ni kazi gani anafanya bana.. Angalau niishi kidogo maana najua haitakuwa kazi yenye akili...

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!
 
Kivipi asiende mkuu mimi nimejibi kutokana na vigezo vyao mkuu sijajitungia kichwani mkuu kwani barua yao ipo kuhusu vigezo ,namba moja inasema awe na credit kuanzia masomo matatu kati ya saba lkn dini au mosomo mengine ya ziada yasiwe miongoni mwa hizo, mbili inasema awe na point 3 hadi 10 ktk mosomo matatu ya tahasusi Lkn F Isewe miongoni mwa hizo sasa kutokana na vigezo hivyo CCD ni point kumi .Hivyo sifa za kwenda kidato cha tano kusomea PCB anazo
Mkuu samahani, je hiyo barua naweza kuipata? Nia yangu ni nzuri.

Kuna kijana namsaidia.
Anataka kusomea PCB lakini ufaulu wake upo hivi.
History D
Kisw D
Geo C
E/language D
Civics D
Bios D
Chemistry C
Phy D
B/ math C.

Je hata nikimpeleka private au kwenue hizi open school, anazo sifa za kufanya mthihani wa kidato cha sita kwa tahasusi ya Pcb?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anitafute kwa namba 0785907371

Sent using Jamii Forums mobile app
Barua hyo apo
Screenshot_20190124-203858.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom