Ushauri wanajamvi; je nikirisiti naweza nikachaguliwa?

Tum4

Member
Jul 15, 2017
36
2
Nataka niende nikarisiti cheti cha form four ila nimesha maliza certificate ya agriculture nimetuma maombi yakwenda diploma sijachaguliwa sababu sijafaulu mathematics katka chet changu je nikirisiti naweza nikachaguliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani majibu ya walioomba kilimo yametoka.. mpaka unasema kuwa hujachaguliwa...?
Au ww uliomba mwaka gani..?
 
Nataka niende nikarisiti cheti cha form four ila nimesha maliza certificate ya agriculture nimetuma maombi yakwenda diploma sijachaguliwa sababu sijafaulu mathematics katka chet changu je nikirisiti naweza nikachaguliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa umekosa kwa sababu zingine wala sio kufeli mathematics kwani sio somo lenye kipaumbele kwenye agriculture mkuu...! Na pia sio kila anaeomba chuo lazima apate

Lakini mkuu mimi nimesoma agriculture private nilikua namasomo mawili tu ya science mwanzo nilifanya application serikalini nikakose kwakua nilikua sina vigezo wao serikalini walikua wanataka d nne za masomo ya science na mm nilikua Nazi mbili nikaamua kwenda private sasa nataka kuresit ili niende diploma selikarin ndomaana nauliza ukiresit kuna uwezekano wakukuchagua

Hapo ndio umetoa maelezo yenye mashiko kijana, kama unaona muda bado ni rafiki kwako sio mbaya ukarisiti ili utimize ndoto zako, lakini kilimo wanaangalia sana geography, chemistry, biology, English ila siku hizi na wao wanajifanya kuingiza physics kwenye kipaumbele so ni vizuri na yenyewe ukaikonsida, pia mathematics haijwahi kuwa kipaumbele ispokuwa ukiwa na D unajiongezea sifa

Kuhusu mda kwangu cyo tatzo coz bado kijana mdogo sana sins halaka yakwenda Chuo Kikuu kwan ndokwanza nafikisha miaka 20 mwaka huu, ila mkuu nukuulize kuna uwezekano angalau wakupata c katika kuresit kama upo serious kabisa sababu nataka kutenga mwaka mzima kwaajili yakuresit tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa umekosa kwa sababu zingine wala sio kufeli mathematics kwani sio somo lenye kipaumbele kwenye agriculture mkuu...! Na pia sio kila anaeomba chuo lazima apate

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi mkuu, kwanza ni bora angekuwa ajapass biology.. hapo wenda ingekuwa sababu... ila math wao hawaingilii kwenye agriculture
 
Lakini mkuu mimi nimesoma agriculture private nilikua namasomo mawili tu ya science mwanzo nilifanya application serikalini nikakose kwakua nilikua sina vigezo wao serikalini walikua wanataka d nne za masomo ya science na mm nilikua Nazi mbili nikaamua kwenda private sasa nataka kuresit ili niende diploma selikarin ndomaana nauliza ukiresit kuna uwezekano wakukuchagua

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa miaka yote mpaka mwaka huu nimecheck vigezo vyao wizara ya kilimo ngazi ya cheti
wanasema hivi

" Muhitimu wa form four angalau awe na pass 4, kati ya pass hizo 3 ziwe zinatoka ktk masomo haya:- Bios, chem, geog, phys, math, Agriculture.. Pass ya English ni sifa ya ziada..

So huyo kijana alichaguliwa na private bila kuwa na sifa ili wapate tu hela...
Pole sana mkuu, ungejua ungerisit kwanza
 
Nataka niende nikarisiti cheti cha form four ila nimesha maliza certificate ya agriculture nimetuma maombi yakwenda diploma sijachaguliwa sababu sijafaulu mathematics katka chet changu je nikirisiti naweza nikachaguliwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
ili kusoma diploma au certificate ya agriculture unatakiwa uwe na "D" nne za masomo ya sayansi
 
Kwa miaka yote mpaka mwaka huu nimecheck vigezo vyao wizara ya kilimo ngazi ya cheti
wanasema hivi
" Muhitimu wa form four angalau awe na pass 4, kati ya pass hizo 3 ziwe zinatoka ktk masomo haya:- Bios, chem, geog, phys, math, Agriculture.. Pass ya English ni sifa ya ziada..
So huyo kijana alichaguliwa na private bila kuwa na sifa ili wapate tu hela...
Pole sana mkuu, ungejua ungerisit kwanza
ni kweli mkuu, huyu hata cheti hawezi kukipata hadi awe na vigezo
 
ili kusoma diploma au certificate ya agriculture unatakiwa uwe na "D" nne za masomo ya sayansi
Hv kama umemaliza form four 2011 na una sifa hzo zinazohitajika... kuanza Certificate unaweza kuchaguliwa vyuo vya serikalini (MATI's)..?
 
Kuhusu mda kwangu cyo tatzo coz bado kijana mdogo sana sins halaka yakwenda Chuo Kikuu kwan ndokwanza nafikisha miaka 20 mwaka huu, ila mkuu nukuulize kuna uwezekano angalau wakupata c katika kuresit kama upo serious kabisa sababu nataka kutenga mwaka mzima kwaajili yakuresit tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jiandae kwa lolote, sio kazi rahisi kurisiti, ujiandae vyema mkuu, unaweza ukadhania una A, matokeo yakija unakuta una fa.
 
Nimehim mati bujora kipo mwanza cha private na nimeomba mati Tumbi kipo tabora nikakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikosea kuomba chuo kimoja japokuwa unaweza kuwa unahisi huna vigezo, mati tumbi waga wana tabia ya kuchukua vijana wao waliosoma certificate hapo hapo au mati zingine za government, but all in all we risiti tu kwa nguvu kubwa kwani kupata c kwenye kurisiti sio swala dogo ila kwenye nia chochote kinawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom