Ushauli: natamani kumchoma mama kisu

Ushauli: natamani kumchoma mama kisu

kapuku94

Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
66
Reaction score
69
Duniani umekuja kuishi ,kudumu au kuwapa mateso wengine, maswali ayo unijia napo mtazama mama. Hongera kwenu nyinyi kwani kwenu akuna Kama mama , lakini Mimi ata sioni Kama anafahida kwangu.

Kwa mda mrefu mama amekuwa akituaminisha kuwa baba ni mchawi, afai , katufunga kuzimu, "baba yenu ni mchawi ataki musome ,kawafunga kuzimu akuna kusoma Wala kufanikiwa , tena yeye tajili kuzimu Ila uku duniani masikini"

Yalikuwa maneno ya mama akituaminisha kuwa baba nimbaya,

Baada ya kuwa Na ujasili Na kuwa Na uwezo wa kuchambua mambo nilikuja kutambua kuwa yeye mama ndo mchawi mkubwa, kamchawia baba ajabu uchawi wake umekwenda vibaya adi wa toto wake umetupata.

Karoga familia nzima.kilichobaki ni kumsingizia Mzee.
 
We pumbavu mofo na kila tusi ntankutukana.
Sijasoma hata ulichoandika nimeona.
MAMA NI MAMA
 
Nimesitika sana,Mama aliye kubeba tumboni miezi 9 why asikuroge ukiwa tumboni.Nakushauri nenda kapime ubongo kama uko sawa kisha utubu dhambi zako la sivyo maneno huumba jera inakuhusu.
 
Tatizo nini boss !huna kisu? Njoo uchukue hi hapa Roman dagger ukamshindilie nayo....akome.
 
Kama una ushahidi kuwa ni mchawi ,muombee kwa imani yako mkuu ila usimuue,kumbuka hasira huwa ni hasara,kumbuka kuna jera pia itakuhusu
 
Yaani nimeshtuka. ..sijasoma thread ila heading I-menishtua mnoo
 
Usiwe unakimbilia tu kuwahukumu watu wakati haujui Wana pitia Katika majaribu makubwa kiasi gani. ...

Hata kama unaona kuwa mtu kakosea jitahidi kuwa unatumia maneno yenye hekima Katika kum-rekebisha... humu tuna kutana watu mbali mbali Kuna watu wanapitia changamoto ngumu Katika maisha yao hadi huwa Wana tamani kujiua. ...so hauoni kuwa unapo mu -abuse mtu kama huyo unaweza kuwa umewasha njiti ya kiberiti petro station
We pumbavu mofo na kila tusi ntankutukana.
Sijasoma hata ulichoandika nimeona.
MAMA NI MAMA
 
Hawachi sidhani kama upo sahihi -- Tembea ujionee haya maisha tunayoushi Kuna watu huwa Wana kutana na changamoto nzito sana -toka kwa wazazi mpaka jamii nzima. ....

Kwa hiyo unataka kuniambia Yale masimulizi ambayo huwa tuna ya sikia kuwa Kuna Watu ni wachawi kama huwa ni wachawi kweli je huwa hawazai na kuwa na familiar? Kama wanakuwaga na watoto je haiwezekani kuwa mtoa Mada akawa ni miongoni mwa watoto hao ---?
Nimesitika sana,Mama aliye kubeba tumboni miezi 9 why asikuroge ukiwa tumboni.Nakushauri nenda kapime ubongo kama uko sawa kisha utubu dhambi zako la sivyo maneno huumba jera inakuhusu.
 
Piga moyo konde.

Kumchoma kisu sio jibu na mwiso wa siku hakimu mkazi kisutu itakunyoosha.

Siku zote ukishajiaminisha kuwa mtu fulani ni mwanga wewe nenda kampe michano wazi wazi tu.
 
Duniani umekuja kuishi ,kudumu au kuwapa mateso wengine, maswali ayo unijia napo mtazama mama. Hongera kwenu nyinyi kwani kwenu akuna Kama mama , lakini Mimi ata sioni Kama anafahida kwangu.

Kwa mda mrefu mama amekuwa akituaminisha kuwa baba ni mchawi, afai , katufunga kuzimu, "baba yenu ni mchawi ataki musome ,kawafunga kuzimu akuna kusoma Wala kufanikiwa , tena yeye tajili kuzimu Ila uku duniani masikini"

Yalikuwa maneno ya mama akituaminisha kuwa baba nimbaya,

Baada ya kuwa Na ujasili Na kuwa Na uwezo wa kuchambua mambo nilikuja kutambua kuwa yeye mama ndo mchawi mkubwa, kamchawia baba ajabu uchawi wake umekwenda vibaya adi wa toto wake umetupata.

Karoga familia nzima.kilichobaki ni kumsingizia Mzee.
Ushauri: Kikubwa ni kumuomba Mungu, kwenda kuvunja hayo mambo, then mama mwombee Msamaha kwa Mungu
 
Usiwe unakimbilia tu kuwahukumu watu wakati haujui Wana pitia Katika majaribu makubwa kiasi gani. ...

Hata kama unaona kuwa mtu kakosea jitahidi kuwa unatumia maneno yenye hekima Katika kum-rekebisha... humu tuna kutana watu mbali mbali Kuna watu wanapitia changamoto ngumu Katika hadi huwa Wana tamani kujiua. ...so hauoni kuwa unapo mu -abuse mtu kama huyo unaweza kuwa umewasha njiti ya kiberiti petro station
Kweli kabisa Mkuu,mtu hadi amefikia hatua ngumu ya kutafuta suluhisho,ni wazi anahitaji maneno ya busara na utulivu katika kumshauri na sio kum abuse!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom