Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Yaani unijumishe kwa tabia ambazo Sina ulazimishe niuvae uhusika mimi naigiza hapa kwamba iwe lazima hata kama ungenijumlisha kwa jambo nzuri ningekataa pia kama sio tabia yangu.Narudia tena nimekujumuisha kwa niaba ya jinsia ya kike lakini si kwa ujumla wa matendo, kwani wewe ni Me hadi useme sijakutendea haki?
Mbona mazuri yasemwayo hapa JF kuhusu jinsia ya kike hujawahi kulalamika kuwa hatukutendei haki zaidi ya kulewa sifa tu na kucheka hadi jino la 32 kuonekana?
Ktk jambo lolote lihusulo Wanawake wapaswa uuvae uhusika haijalishi li la heri au la shari, sawa Mama la Mama?