hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,629
- 74,037
Yaani inashangaza Taifa hili sijui lime kuwa na watu wenye akili za namna gani. ..kila kitu kwao ni negative
Kweli kabisa Mkuu,mtu hadi amefikia hatua ngumu ya kutafuta suluhisho,ni wazi anahitaji maneno ya busara na utulivu katika kumshauri na sio kum abuse!!.
