ushauli jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauli jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mab-v, Dec 11, 2011.

 1. m

  mab-v Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Abali zenu wanajanvi kuna binti nakaa nae mtaa mmoja nimetokea kumpenda sana nataka awe mchumba wangu kwasababu nimelidhika na tabia zake nimemwambia kuwa nampenda awe mchumba wangu hakunipa jibu la ndio kasema nisubili anichunguze nimejalibu ku2mia malafiki zangu lakini wapi atoi jibu la ndio au hapana anasema nimsubili nikituma sms ajibu ata moja nikimpigia cmu kumuuliza anasema mvivu wa kuandika sms anaongea kwa shida, au ukipiga akakwanbia atakutafuta badae akutafuti nimechoka na jibu la subili maana mwakani mungu akipenda nilitaka awe mke wangu wa ndoa je niendelee kusubili au nimuache nitafute mwingine uyu ananipotezea muda nawasilisha
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  tatizo hukutumia r wakati unamwagia sumu.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa umeambiwa usubiri kimberembere cha nini?
  Mpe muda wake, akilidhika atakujibu.

  Alafu Kongosho zunguka na majukwaa mengine na wewe.
   
 4. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  weka ri kila kwenye li kwenye sired yako
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Chit chat Rejao kanifukuza kaleta wanasiasa hao kila nikienda kule nabanwa na mshipa, bora nikae humu humu

   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nenda ipo mada moja isiyo na mibanano. . .
   
 7. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli sidhani kama amevutiwa na wewe,sio lazima akupe jibu la ndio au hapana wewe utasoma matendo yake,mi katika wakaka niliowadate sikumbuki kumwambia m2 ndio,embu jaribu kuwa kama umemneglect uone,ukiona kimya hajali tafuta mwingne,
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mwambie ukiwa firm,sasa nakupa time frame.....baada ya muda fulani lets say miezi mitatu uwe umenipa jibu langu,halafu wewe endelea kama kawaida kuwasiliana naye,kutuma sms na kuendelea kumdodosa hapo mtaani wapi marafiki zake,muda wake wa kutoka kazini na anatumia kufanya nini spare time....hii itakupa picha halisi ya huyo dada maana nahisi unamjua kijuu juu tu,kisha baadaya hio miezi mitatu na yeye takuwa kakuchunguza vya kutosja/na wewe utakuwa tayari kwa jibu sasa akupe. ila uwe tayari mkuu hio tabia yake kuna mawili,either hujamvutia au anahitaji more persuading.......kwa vovyote kaa tayari,
   
 9. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Ukishaona vitu kama hivyo ujue hapo ni mawili..aidha hakutaki anaona huruma kukupa live au ana mwanaume wake tayar ila hataki kukuweka wazi...angekuwa na nia na wewe wala asingekufanyia vimbwanga hivyo. Angaza sehemu nyingine bro.... .anakupotezea muda tu..
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Subiili tu lafiki, halaka ya nini? akianza kulispondi utaona laha mbona? Utafulahi sana...
   
 11. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  :lol:hahahhaaaa....nimeipenda yaani adi lahaaaa!!
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ushauri kuna wanawake 3/4 ya wanaume unasubiri nini kutafuta demu mwingine..
   
 13. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Kajifunze kuandika kwanza meseji..............kwani wewe unaonaje?

  Endelea kusubiri ndio uchunguzi wenyewe huo maana kama hauwezi fuata maelekezo madogo kama hayo utampa shida baadae.
   
 14. p

  pansophy JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kajiulize kwanza Kama wewe ni Mbaya au FukaLa? Mapenzi ya siku hizi ni kizungu mkuti
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mmmh..kongosho, ndio umeamua kuja kunishtaki kwa lizzy? Mbona wanituhumu bila makosa jamani
   
 16. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  tafuta mwingine kaka
   
 17. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haraka ya nini kaka,unaonekana sio mvumilivu ukiambiwa usubiri subiri amalize uchunguzi wake kama una haraka waweza kuendelea kumtafuta mwingine ila kumbuka ndoa si kitu cha kukurupuka au kukutana na mtu leo ukataka mfunge ndoa kesho hapo itakula kwako, naweza kuficha makucha yangu kwa mda kidogo na nikingia kwenye ndoa nayatoa. Sasa sijui hapo ├╣tafanyaje utavunja ndoa au itakuwaje?
   
 18. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Duh, unataka uoe mwakani m2 mwenyewe ndo unampiga sound leo, plz be seriouz! wa2 uchunguzana kuanzia mwaka 1 mpka ata 10! we ata hajakukubalia!
   
 19. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
   
 20. m

  mab-v Member

  #20
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukulu kwa ushauli wenu nitaufanyia kazi
   
Loading...