Ze mimi
Senior Member
- Oct 13, 2013
- 127
- 16
Kwanza nakupa pole kwa harakati zako za kisiasa,baada ya pole hizo naomba nikupe ushauri wa bure kwamba inaonekana wewe ni kipenzi cha watu hasa wafuasi wa SISIEM na vibaraka(waganga njaa) wao ndan ya CDM;hivyo ni heri ukahamia kwenye chama ambacho kina wafuasi wako wengi ambao kimsingi hata kitabia wana fanana na wewe.Chama hicho si kingine bali SISIEM maana kwa kila mtu mwenye akili zake timamu anafahamu fika kwamba dhamira yako si tu uenyekiti wa chama ila kuna kitu kimejificha ndan yako ambacho ni cha kishetani kabisa,au vinginevyo kusanya wafuasi wako ili uanzishe chama chako cha siasa kama kweli unajiona unakubalika na wananchi kuliko kutuambisa sababu zisizo na msingi wowote eti umekitumikia chama tangu ukiwa na miaka 16 na ukijitolea kusimika nguzo za bendera za chama.By the way nilikukubali sana miaka ya nyuma lakini kwa sasa hapanaaaa.