Ushari kwa kaka yangu ZZK

Ushari kwa kaka yangu ZZK

arudishe lile brief case lekundu alipewa na Ramadhani Inghondu na Kimei

Huna jipya.mbona mnasema ule waraka hauja toka chamani mnasema tiss.mnaogopa nini?kama mnauhakika kachukuwa mlungula?
 
Wala hana nia ya kuanzisha CHAMA chake (Uwezo hana hasa kimtaji). Analia CDM kuna ubaguzi, amewekeza Shilingi ngapi kukianzisha chama? Watu waliweka hela zao kununua majengo, usafiri, na harakati wakati yy anatoka matongo tongo huko vijijini kwao Kigoma, leo aje hapa eti anataka uenyekiti, uraisi (hata mke huna, umri hautoshi kuvuruga watu 2), anataka kuua CDM !! Pumbafu zako, mchingieni baharini ndio aelewe jiji vizuri. Kama unataka pasipo kuwa na ubaguzi hama fasta uende kunako kufaa (basi kila mara fb vimaneno vya kwenye kanga-kuku kweli kweli).

Unalia na Freeman Mbowe, huyu kazaliwa kwenye hela hata hayati Mwl Juliys K. Nyerere , JMK, kAKA Ben na Mzee wa ruksa wanalijua hilo itakuweje huyu kuku wa kuja juzi juzi tu mjini ndio aruruge wazee wa mjini!! Lengo lake lilikuwa kuua upinzani Tanzania kwa sababu za tamaa zake. Tatzo lake njaa, tamaa, unafiki, usaliti, kujifanya maarufu kuliko chama, kujifanya mjuaji kuliko wengine, kujifanya mhimu kuliko wengine, nk.
 
Zana za kilimo[zzk] utafuata nyayo za Kabul, lamwai, na tambwe hiza
 
Umetumwa na mbowe umtukane mwanasiasa.ushindwe na ulegee.shetani ni wewe ulie tumwa.

Hakuna hoja ya maana na yenye mashiko kwamwenye akili timamu eti zito anakihujumu cdm.

Wanao kihujumu kwakula fedha za cdm hamuwasemi mnawaona wako sawa.ila anayeulizia uendeshwaji wa chama kwamujibu wa taratibu,mnamwona hafai.kweli vijana tumezowea kutumiwa kama makarai.

Umesoma vizuri ushauri wa bure aliopewa??
 
Back
Top Bottom