Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
Wadau nilishangazwa na jinsi ambavyo wajumbe wa BMK walishangilia baada ya matokeo kutangazwa na kuonekana kuwa rasimu ya Chenge imepita kwa kupigiwa kura nyingi za ndiyo.
Naomba kama kuna mdau yeyote anayo clip inayoonesha watengeneza katiba kutoka popote duniani wakifurahi baada ya matokeo ya kura kutangazwa aniwekee hapa ili nijue tofati za ushangiliajui kutoka tamaduni mbalimbali ulimwenguni.
Mtazamo wangu ni kuwa wabongo tumekaa kimipasho zaidi hata kwenye masuala muhimu.