Leo katika pita pita zangu natoka Brooklyn Napenda Menlyn
Nimeona Shule ya Mbwa.
This is extremely fantastic... dogii nae Ana shule!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa picha hii ni kweli sio uongo.
Wakati sisi tunahimizwa tupeleke watoto shule wao tayali mbwa wanashule zao then baadae tunakuja lia lia kuwa tunahujumiwa