Prince of Persia
Member
- Jul 17, 2018
- 50
- 43
Ushamba unaendana na mwaka wenyewe historia inasema darasa letu yaani standard 1 ya 2005 we are smart. Kama ushamba mliufanya wewe na wenzako sio sisi we are best class in Tanzania.Karibuni hivi first year waliodahiliwa na kupata vyuo mbali mbali hapa tz na kule znz wataripoti. Ila mara nyingi huwa na shobo nyingi sana wawapo vyuoni.
Tunakukumbusheni kuwa mkae mkijua huku kuna CARRY NA KUDISCO so kuweni makini
Hayo ndyo hufatiaWaafrika Wakitanguliaga
Sio uzembe kuna nyingine zinakuja automatic mkuuCarry na disco ni uzembe tu
Conas udsm zinakuja automatic, hahaaaaSio uzembe kuna nyingine zinakuja automatic mkuu
Sure mkuu pale zinakuja automatic mtu unashangaa una coursework ya 28 inakuja UE una E tena sio D sasa jiulize huu ni uzembe au ninin na mtu ulitoka kwenye pepa unajua ushauaConas udsm zinakuja automatic, hahaaaa
Watu kama wewe unakuta ume sup mwaka mzima mpaka unaelekea kumaliza au ume disko kabisa , ndio maana una ungea negativityKaribuni hivi first year waliodahiliwa na kupata vyuo mbali mbali hapa tz na kule znz wataripoti. Ila mara nyingi huwa na shobo nyingi sana wawapo vyuoni.
Tunakukumbusheni kuwa mkae mkijua huku kuna CARRY NA KUDISCO so kuweni makini
Hii ni fikra potofu chief, tunaishi kwa malengo. Lengo la kwenda chuo ni kusoma mpaka ugraduate. Ikitokea uka disco si jambo la kulichekea, kwa kuwa umepoteza muda na rasilimali nyingi sana. Kudisco unapoenda chuo haitakiwi kuwa option, iache ije tu kama matokeo baada ya jitihada za kufaulu kushindwa na si kama kitu Kilichotarajiwa.DISCO Kitu Cha Kawaida tu Kwa Mwanamme asiyeogopa Maisha.
Ukimwona Mtu anaogopa KuDISCO kama Wewe jua anayaogopa Maisha Huyo.
Automatic [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sio uzembe kuna nyingine zinakuja automatic mkuu