Ushamba: Simu za Gharama

Monsta galaxy s 2 ndo simu gan? mie najua monster ipo kwenye simu nying sana taja exactly simu ili nijue ukweli au nikueleweshe.

Samsung ndio simu bana, does its job effectively
 

Si wote mana maisha magumu kama wewe na si kweli matumizi ya simu yako sawa. Huwezi ukalinganisha kwa mfano SAMSUNG Galaxy S2 na Samsung D780. Hakuna kitu kama hicho. Camera, Connections, nk. Vyote ni tofauti. Na wewe naona unatetea simu za elfu 80 kisha zinasupport WAP. Ukumbuke hazina WiFi nk. Usilazimishe mtu aishi kama wewe. Watu wana hobbies tofauti.
 
Mzee ulijuaje kuwa laptop yangu wanachezea watoto mi mwenyewe naji -iphonica na wife ana-galaxica!
 
Sema wewe huna hela na usijumuishe wote..
Na haitawezekana hata kwa bahati watu wote wakaishi upendavyo wewe..kama unakula ugali kwa picha ya samaki wengine hawawezi huo ujasiri...
 
Hapa natumia iPhone !! Laiti ungeiona application ya JF kwenye iPhone ilivyo na mvuto na ninavyo browse walah ungekuwa jirani yangu kila siku ungenigongea mlango kuomba simu na wewe ufungue JF ujisomee!
 
Nguo 6? inaelekea huvai ch*upi wala vest kama unavyoonekana kwenye avatar yako.
 
Mi naona mambo ya simu na product zingine za watu binafsi tuwaachie kila mtu ana maamuzi yake. Kipato kikiongezeka ndo utajua kwa nini jana ulimshangaa aliye nunua product ya bei juu zaidi. Ila tuangalieni na serikali ambayo kila mwaka wana badili model za magari kwa mamia ya mamilioni ya pesa za walipa kodi huku tunajiita nchi maskini tunaishi kwa mikopo na kuomba omba.
 
Pata kitu macho imeona na moyo imependa,unakuwa na ipad,iphone blackberry maisha yanaenda.
Ishi nyumba ya kupanga kazini waenda na Vogue.
 
Samsung Galaxy Note is more than a phone..have missed your point.
 

Simu nzuri ni chaguo la Mtu . Kunawatu wanaamua kutumia pesa zao kwa ulevi tu, tena ulevi usio na sababu maalum,unakuta Jamaa anatoa ofa ya bia na vilevi expensive Kama jack Daniel etc.
Wapo wengine wanaacha familia zao zinahangaika njaa, wao wanahonga pesa zao kwa machangudoa.
Simu inaweza kukuongezea status na mwonekano WA kisses zaidi. Siungi mkono hoja yako
 
Wakuu simu ni "status" pia. Huwezi kuwa mkurungezi halafu ukawa na simu ya kitochi kisa wewe ni kupiga, kupokea na kutuma sms. Kama hujuwi hata hii mitandao yetu ya simu nayo ina status yake, kwa mfano Tigo ni mtandao wa wanafunzi na watu wa kipato kidogo. Iliyobaki ni ya hadhi ya juu.
 
Huo ndio ushamba wenyewe, we kama una radio, laptop etc sasa unanua simu yenye hivyo vitu vyote ya nini!!!. ingali utakuwa huvitumii kwenye simu. Au basi kulingisha ili ukifika baa uiweke juu ya meza!!! loh!!

Huwezi tembea na radio/laptop kila mahali lakn simu unaweza enda nayo almost popote
 
Nimeibiwa lap top yangu kwenye klm bus sina hanu natumia sony ercson experia nailinda kama jicho nlkila kiroba naiweka kwa gari...
haya bna ngoja uibiwe utakuwa na hamu na hyo laptoap yako.
 
Sema wewe huna hela na usijumuishe wote..
Na haitawezekana hata kwa bahati watu wote wakaishi upendavyo wewe..kama unakula ugali kwa picha ya samaki wengine hawawezi huo ujasiri...

hahahaha haya majibu ni noma. Unajua nahisi huyu mtoa mada atakua geneous ila ni geneous wa zamani. Hata babu yangu ambaye ni msomi kidogo yeye ameapa kamwe hato nunua simu zaidi ya elfu 60. Bahati ni kwamba ofisini kwao kila mwaka anapewa simu mpya. Wazee wanatabu sana hawa. Mfano mwaka juzi babu alipewa blacberry curve na mwaka jana aliambiwa achague simu akachagua nokia N 83. Jst imagine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…