Ushamba mzigo: Kaligraph jones kama Ray kigosi

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri,ana drive ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia.

Hakyamungu,these idiots,type za Kina ray aliyedai kwamba anakunywa maji mengi na anashinda kwenye AC ofisini na garini sijui kina Akon,seal,Don.

Cheadle,Hounsou,Mario ballotel,Bacary Sagna wasemeje sasa?kwamba wao ni weusi,dark kweli hawana hela na magari au?

Shame kabisa,midume mizima inajichubua,kaligraph Jones nimemvua nyota zote. Jinga kabisa kabadili hadi Accent, mamaeeee

 
Kapelekwa mjini na Christian Bela kang'ang'ania hukohuko
 
Haya mabaunsa ndio maana mie huwa nakua sana na wasiwasi nao kuwa mashoga, sasa huyu kipande nae kajikoboa kweliiiiii.....
 
Mpumbavu sana... Alikuja vizuri sana ila atapotea...
 
Hata yule jamaa ambae mke wake kaolewa tena juzi...daaa niliona akifanyiwa interview na Shilawaduu.Jamaa kajichuna haswaa
 
Mtanipa ripoti yatakayojiri ila mwache ajikoboe maana kila mtu na starehe yake cha msingi sali sana usije kukumbwa na majaribu hayo.
 
Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri,ana drive ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia ...
Hakyamungu,these idiots,type za Kina ray aliyedai kwamba anakunywa maji mengi na anashinda kwenye AC ofisini na garini sijui kina Akon,seal,Don Cheadle,Hounsou,Mario ballotel,Bacary Sagna wasemeje sasa?kwamba wao ni weusi,dark kweli hawana hela na magari au????
shame kabisa,midume mizima inajichubua,kaligraph Jones nimemvua nyota zote..Jinga kabisa kabadili hadi accent,mamaeeee


Kama nitakuwa nimeelewa ulichoandika nitakuwa na matatizo ya uelewa.
 
Wasanii wengi wa kiume sidhani kama bado wanazo rinda.........Tabia nyingi ni za kike sana.
 
MK254 nilikuwa namkubari sana huyu kijana wenyu caligraph Jones.

kwa hili la kuanza kujichubua ngozi kama vijana wa kikongo kwa kweli limenisononesha.

naona umagharibi umemtawala sana huyu jamaa mpaka sasa anatamani kuwa mweupe kama mzungu.shame on him.mambo ya kujichibua awaachie akina ali kiba na diamond sio yeye mwanamziki mkali wa hip hop.
 
MK254 nilikuwa namkubari sana huyu kijana wenyu caligraph Jones.

kwa hili la kuanza kujichubua ngozi kama vijana wa kikongo kwa kweli limenisononesha.

naona umagharibi umemtawala sana huyu jamaa mpaka sasa anatamani kuwa mweupe kama mzungu.shame on him.mambo ya kujichibua awaachie akina ali kiba na diamond sio yeye mwanamziki mkali wa hip hop.

Kha! aisei anafanana zombi fulani hivi, ovyo sana.
 
Back
Top Bottom