ni hatari kwa afya yako!!Kuna baadhi ya simu zinskika vzr zaidi ukizgeuza!!!!
Wakati mwingine kwa hizi simu za kisasa (touch sceen) sikio linavyogusa screen unaweza jikuta umekata simu au kumweka mtu on hold bila kukusudia. Hata hivyo sina hakika kama wote wanaogeuza ni kwa sababu hiyo ama la. Binafsi sipendi kugeuza (hata kama ni touch screen), ni kuwa makini tu namna unavyoiweka sikioni.Hivi ni ushamba wangu au
ushorolilo wa hawa jamaa?
Unakuta mtu anaongea na
simu, namna alivyoweka simu
sikioni ndivyo sivyo. Yani
ameigeuza, sehemu ya nyuma ya simu ndio kaibandika sikioni, na si kwamba iko
kwenye loudspeaker! NO.
Imekaaje hii?
Nafikiri hapa bwana Yoweri Mbuyi Twite Kaguta Tata Museveni utakuwa unazungumzia simu aina ya Nokia Torch. Simu hizi ukizigeuza mbele nyuma ndio unapata kuisikia vizuri,kutoka na speaker yake inasikika vizuri kwa nyuma.Hivi ni ushamba wangu au
ushorolilo wa hawa jamaa?
Unakuta mtu anaongea na
simu, namna alivyoweka simu
sikioni ndivyo sivyo. Yani
ameigeuza, sehemu ya nyuma ya simu ndio kaibandika sikioni, na si kwamba iko
kwenye loudspeaker! NO.
Imekaaje hii?
Nafikiri hapa bwana Yoweri Mbuyi Twite Kaguta Tata Museveni utakuwa unazungumzia simu aina ya Nokia Torch. Simu hizi ukizigeuza mbele nyuma ndio unapata kuisikia vizuri,kutoka na speaker yake inasikika vizuri kwa nyuma.
Ndio simu yangu maridhawa mkuu. Nokia Torch haijawahi kunifanya nitembee na chaji Kama kabwela. Inamudu kukaa na chaji kwa muda mrefu. Na kwenye giza tochi huwa ina msaada mkubwa. Wanaotumia Nokia Torch watanielewa.aisee umenisoma kbs. Au na ww unayo ya aina hiyo? Kweli, niliowaona walikuwa na Nokia Torch. Asante kwa majibu bomba
Kuna baadhi ya simu zinskika vzr zaidi ukizgeuza!!!!
Nafikiri hapa bwana Yoweri Mbuyi Twite Kaguta Tata Museveni utakuwa unazungumzia simu aina ya Nokia Torch. Simu hizi ukizigeuza mbele nyuma ndio unapata kuisikia vizuri,kutoka na speaker yake inasikika vizuri kwa nyuma.
Wakati mwingine kwa hizi simu za kisasa (touch sceen) sikio linavyogusa screen unaweza jikuta umekata simu au kumweka mtu on hold bila kukusudia. Hata hivyo sina hakika kama wote wanaogeuza ni kwa sababu hiyo ama la. Binafsi sipendi kugeuza (hata kama ni touch screen), ni kuwa makini tu namna unavyoiweka sikioni.
Kuna baadhi ya simu zinskika vzr zaidi ukizgeuza!!!!