Ushamaliza sh ngapi hadi sasa kwenye Biko, 3 mzuka, dakapesa na wanawe?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Aisee ile mwanzomwanzo wakati biko tuu na tatu mzuka vinavuma zaidi nilicheza kama 100000/= hivi .

Nikajaacha kabisa,
naona
Asubuhi
Saa sita mchana
Jioni
Saa 2 usiku
Saa sita usiku
Aisee ni jumbe mbilimbili za kuniimiza nicheze

Tena sijui wanaambiana maana hata yale makampuni ambao sikucheza zinakuja jumbe zao mida hiyo.
 
hasara ni kubwa kuliko faida.
hasa hiyo biko, yani unamchangia mtu mwingine kwa jumla ya sh. 10000 halafu we unaambulia 1500
 
Zaid ya laki nne
Screenshot_20181224-133516.jpeg
 
nani anayeishi au anafahamiana na watu walioshinda hiyo michezo?
kuna anayefahamu hali zao baada ya "kushinda" hizo hela?
 
Ni kama wanaambiana. Toka niache upuuzi huo hata hawanitumii tena matangazo yao. Ila ni baada ya kuliwa sana.
 
M bado sijaacha ila nacheza kampuni tofauti,Mara premier betting,Mara meridian,sport pesa na TATU mzuka.nimeweka limitation kama ntamaliza mwaka bila kushinda chochote sitacheza mwakani ntajitengenezea kiboksi cha kuweka hizo mia tano ta5 na buku nazoliwa kila siku
 
Back
Top Bottom