Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,274
- 61,225
Sio kweli Joni alikuwa mkubwa sana
Watu hawakawii kusema pembe zimeshaozaHili la bwana John huwezi kufanya chenji kota mzee. PM anataka report ya kifo na pembe za marehemu. Yaani daaah ukisikia unoko ndio huu
Itakuwa Yule yuleJohn yupi sasa huyu huyu au!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii sasa next levelWatu hawakawii kusema pembe zimeshaoza
Hahaaa, anaitwa Faru John!Hivi huyo John hana jina LA Pili??? Maana naona kama wanafanana majina na John!!! Nadhani tuwe specific
Kuna watu saa hizi wanatamani ardhi ipasuke ghafla wazame then waibuke baada ya kitambo flani kupitaYaan kama aliyoongea PM ni kweli watu walipiga mpunga na kimebuma saa hivi.. Basi watu wengi watakuwa kwenye hali mbaya sana
Wandugu ule ushaidi kuwa Johnie kafa ni kweli huu hapa. Labda sasa tujipange jivingine. View attachment 444100
Unoko gani mzee? Unoko kwa waliomuuza au unoko kwa Pm!Hili la bwana John huwezi kufanya chenji kota mzee. PM anataka report ya kifo na pembe za marehemu. Yaani daaah ukisikia unoko ndio huu
Umechemka kwa sababu haukusikia kauli ya PM kuwabana watu wa "maliasili" kuhusu kuuzwa kwa huyo faru "john". Fuatilia "sosi" ili uende na wachangiaji.Hivi huyo John hana jina LA Pili??? Maana naona kama wanafanana majina na John!!! Nadhani tuwe specific
John HamisiHivi huyo John hana jina LA Pili??? Maana naona kama wanafanana majina na John!!! Nadhani tuwe specific
Hilo dua sawa. Lakini unaelewa pembe za faru ni malighafi ya kutengenezea nini? Millioni200 kwa mnyama pori m1, thamani ya basi la abiria! Kweli nchi hii tajiri.Hawa majangili wafe na wanao nunua hizo nyara zikawabadilikie kibao zikawape umaskini badala ya utajiri . .magonjwa badala ya afya . .zikawape laana badala ya baraka . ..na iwe hivyo milele mpaka wazichukie kabisa . .katika jina la Yahushua ha Mashaic name Amen RA
John hamisHivi huyo John hana jina LA Pili??? Maana naona kama wanafanana majina na John!!! Nadhani tuwe specific
Unoko gani mzee? Unoko kwa waliomuuza au unoko kwa Pm!