Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Mpiga picha makusudi alidhamiria kupiga picha zitakazopotosha uma. Hili linajithibitisha katika picha ya kwanza na ya pili kwani huwezi piga picha pembeni ukiacha watu wengine wamekatwa katika picha.
Katika picha ya tatu mpiga picha amekaa mbele kama si second line ya wanaohutubiwa akapiga picha anayotaka yeye ioneshe hadhira iliyohudhuria mkutano.
Hata kudanganya kunahitaji kuwa smart enough kuliko unaowadanganya, kwani unaowadanganya wakigundua kww facts kuwa unawadanganya mdanganyaji hugeuka na kuonekana mpu.mbavu/mjing.a
Picha za lini hizo na wapi?/? Nyoko >.>
okey tufanye Dr Slaa mapendwi mkuu UFURAHI WEWE.
Picha za lini hizo na wapi?/? Nyoko >.>
tuwekee ambazo hazipotoshi umma basi mkuu
nani hafurahi? Mimi ninachofanya nikuweka picha ata kama ingekuwa kwa ccm ningeweka,sifungamani na upande wowote,wala sijawai kupiga kura
nani Hafurahi? mimi ninachofanya nikuweka picha ata kama ingekuwa kwa ccm ningeweka,sifungamani na upande wowote,wala sijawai kupiga kura
hapa mkuu ndo unafanya kosa kubwa sana tafadhali badilika mkuu kachague viongozi wako tusipate magalasa.
Jeshi la polisi na usalama wa taifa wanafanya mipango ya niniuwa maneno ya Dr.Slaa leo hii yeye ndiyo amekuwa wa kwanza kuomba msaada kwa jeshi la polisi, hakuna kitu kibaya kama ulaghai wa kisiasa anaofanya Dr.Slaa.