Ushahuri kuhusu mke wangu

[emoji849]
 
Mtoto ndio nin aiseee piga chini huyo malaya atakuua na mapresha ooh,wewe umeshagundua anakuchit unataka nin tena
 
Kwa Mujibu wa huu Uzi wako, Kila mwanaume amesoma na kuvaa uhusika,,kabla ya kukusanya maoni ya watu ambao ni nje ya box Kwa maisha yenu binafsi,hebu angalia wewe unaweza kuamua Nini? Ukumbuke umevaa uvumilivu uliokupa ujasiri Kuja kwenye uwanja wa JF kumwaga yanayowasibu wewe na mkeo, hapa soma mawazo ya watu kwakuwa tayari maamuzi umesha jitolea mwenyewe, ukumbuke pia tayari ni mzazi mwenzio, yawezekana una hofu juu ya hatua zitakazo chukuliwa kisheria baada ya kutoa mawazo yakuachana Kwa hofu ya mali mnazomiliki? Pigania uhai kwanza ili maisha yaendelee hebu tetea afya, kuhusu mtoto yawezekana ni damu yako kwahyo bado utawajibika kama mzazi,hayo ni maisha uliyochagua angalia utamaliza vipi Kwa hayo unayopitia!
 
Mwanamke anaye-cheat kamwe haachi. Mwanamke ha-cheat kwa bahati mbaya au kwa fun kama mwanaume.

Kama upo tayari kuishi na mwanamke anayetombwa na wanaume wengi na upo tayari kupata magonjwa, msamehe na muendelee.

Kama hauwezi, muache.
 
Kumuacha mtu unayempenda, umemtambulisha kwa wazazi na jamii na pengine mmefunga ndoa, mmepata watoto, mmepambana pamoja kujenga maisha; siyo rahisi.

Lakini maisha yako ni muhimu zaidi. Utaendelea kudharauliwa hivyo mpaka lini? Utaendelea kuteseka na magonjwa na mawazo mpaka lini? Kwanini upate shida zote hizi?

Wanadamu wote tunatafuta furaha. Maisha yenyewe mafupi, kwanini unaamua kuteseka hivi?

Anyways, uamuzi ni wako, maisha ni yako. Tunakuheshimu wewe na uamuzi wako.
 
Wewe ni dhaifu
 
Unatoa wapi ujasiri wa kujifunika shuka moja na nyoka
 
Umeoa drs la 4 aliemalz chuo[emoji74][emoji732][emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…