sasa na wewe saizi yangu using'ang'anie na kushupalia jambo hilo hilo moja ambalo mimi kwa maoni yangu naona hakutumia mfano mzuri, yaani wewe saizi yangu unataka mpaka mtu akupigie magoti ndiyo yaishe?.Mzizi wa hoja aliyoitoa ni suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sina data za IQ, hivyo siwezi ku-comment chochote.
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa(>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa (>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...
....ta ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ! .....
Mbona hamsemi hivyo kuhusu Ziwa Nyasa kuwa tuliachie liende kwa Joyce...!Acheni vituko.Upo sahihi haka kazanzibar kaondoke.tubaki na tanganyika yetu.
sasa na wewe SAIZI YANGU using'ang'anie na kushupalia jambo hilo hilo moja ambalo mimi kwa maoni yangu naona hakutumia mfano mzuri, yaani wewe saizi yangu unataka mpaka mtu akupigie magoti ndiyo yaishe?.
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa(>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...
Sijajua upembuzi wako umezingatia nini! Kuhusu aldhi ndogo labda profession yako inakubana, ardhi ina value, inawezekana value ya ardhi ya Zenji ni kubwa! Sijui kama ulizingatia hilo katika kupima IQ! Mbona oysterbay ardhi ni aghali wakati kuna poli kbala ya mikumi ambalo halina mtu,IQ yako ilikupitisha huko?
Kwanini kama Mzanzibari ana uwezo wa kununua na kumiliki ardhi Kariakoo ambako hakuna ardhi, na mTangnyika asinunue na kumiliki huko? IQ imekupitisha huko? Au wazo alako ni kuwa kwakuwa Zanzibar hakuna ardhi ya kutosha basi iwe haki ya Wazanzibari ila huku ambako kuna ardhi ya kutosha iwe yetu wote? IQ yako inakuongoza hivyo? na Kariakoo kusiko na ardhi je? na Tandika? Angalia IQ yako mkuu!
Umemaliza! Ni sawa na baba mwenye nyumba rijali mwanaume original wa kiafrika (sio hawa wanaoushobokea ushoga) uanze kubishana na mke wako asubuhi eti nani atandike kitanda!?Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa (>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...
Umemaliza! Ni sawa na baba mwenye nyumba rijali mwanaume original wa kiafrika (sio hawa wanaoushobokea ushoga) uanze kubishana na mke wako asubuhi eti nani atandike kitanda!?
Upumbavu Upumbavu Upumbavu!
Tanganyika ni mume, Z'bar ni mke, fullstop!
Wewe ndo una IQ ndogo. Issue ya Zanzibar ni sensitive sana. Kwa waona mbali huwezi ukaijadili kijuu juu tu. Huna data unaposema "Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!. Kam unafuatilia vyombo vya habari utaelewa ni kwanini Urusi ana nchi za Europe na Marekani zinataka ushawishi wa nchi ya Ukrane hasa kisiwa cha Crimea. Ujiulize kwani vita ya Uingereza ilipigana vita kugombea kisiw cha Falkland wakati kisiwa hicho kipo karibu Km 12734 kutoka Uingereza. Kaka no reserch, no right to speak.
Well, sitaki kukukatisha tamaa kwa kiwango chako cha kufikiri na kupambanua mambo. Kwanza si kweli kwamba watz wengi wana IQ ndogo, ninachojua wengi ni wavivu wa kufikiri, kama si wepesi wa kusahau mambo ya msingi.
Pili nina shaka na IQ yako unayojisifia kwayo huku ungali unashindwa kuelewa muungano haukujengwa ktk msingi wa ukubwa wa eneo au wingi wa watu. Kwa kuwa tayari tulishakuwa kwenye muungano la kujadili si idadi au ukubwa bali ni terms za muungano. Hawa wachache walio ktk muungano wanahaki za msingi kama hawa wengine. ww leo kwa kuwa upeo wako wa kufikiri unaishia kwenye ukubwa na idadi. Kinacholeta shida ktk muungano ni histiria yake na terms za muungano na si kweli kwamba tunataka ardhi ya zanzibar, kwa lipi?