WanaJF,
Huu hapa ni uthibitisho ama ushahidi kama ambavyo ilielezwa na mwanasheria msomi, ambae pia ni naibu wa spika Dr Tulia kuhusu kuruhusiwa kwa watumishi wa umma kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa.
Dr Tulia ameeleza kwa umakini mkubwa na ufanisi kuwa watumishi wote wanaruhusiwa kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa isipokuwa tu, wanajeshi, mahakimu na majaji. Ila watumishi wengine wote wa serikali RUKSA. Hivyo basi, hakuna mahali popote pale mwanasheria mkuu ama naibu wake amezuiliwa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Wapinzani wamelaghai na kuudanganya umma wa Watanzania kuwa watumishi wa umma hawaruhusiwi kuwa wanachama wa chama cha siasa, kwa kuitaja CCM...kitu ambacho sio cha kweli kwa mujibu wa waraka huu.
Hivyo basi, masahihisho haya ni kwa lengo la kuweka mambo sawa kwa Watanzania wote ambao hapo awali walilishwa uongo na wapinzani...jambo ambalo ni haramu kwenye jamii yetu. Hivyo Watanzania nawaomba mpuuze kauli za ulaghai kutoka kwa wapinzani kwa kujisomea wenyewe waraka huu hapa chini ili kubaini ukweli ambao naibu spika, Dr Tulia ameeleza leo bungeni.