Ushahidi wa Udikiteta ndani ya CHADEMA.

Status
Not open for further replies.
Ukishindwa hoja, ndoto yako kubwa ni kummaliza mpinzani wako kwa maguvu. Hizi ndizo zilikuwa mbinu za Akina Idd Amini Dadaa.

Ushauri wa bure: Unajisikiaje kama ungekuwa Balozi mzuri wa kueneza maneno ya ki-Demokrasia kuliko kuendeleza lugha ya kidikiteta. Fikiria sana hili litakusaidia mbele ya safari.
Ukijadili upuuzi utakua mpuuz na mwshowe jibu lake litakua la kipuuz naomba MODS PIGA BAN HAWA MAADUI NAMBA MOJA WA TAIFA HILI KATIKA MAGEUZ YA KIFKRA NA KIUTAWALA
 
Mimi sitoki kanda ya Kaskazini lakini sikubaliani na zitto kugombea sasa urais CDm, namuona bado saana. Panahitajika mtu mwenye kufanya maamuzi mazitto. kabwe bado asubiri. Namuona bado anapwaya katika nafasi ya Urais. Ubunge sawa na vyeo vingine lakini hapo ukweli lazima uwekwe wazi. Zitto subiri upikwe kwanza.

Uenyekiti wa CHADEMA je? Au UKATIBU? Na nani unadhani anafaa kugombea urais toka CHADEMA 2015? Pengine wazo lako ni zuri lakini tunahitaji jina.
 
Mkuu mleta mada hebu tufahamishe: hivi kwa miaka zaidi ya 50 ya uhai wa TANU/ASP/CCM imewahi kuwa na wenyeviti wangapi na walipatikanaje?

Well, hebu tuachane na wenyeviti wa miaka ya nyuma, aliyepo madarakani leo alipatikanaje? Hebu tufahamishe Mwenyekiti wa CUF aliyepo madarakani leo alichaguliwa lini na kwa utaratibu gani?

Halafu hebu tujuze, kwa miaka 20 ya uhai wa Chadema imewahi kuwa na wenyeviti wangapi? Halafu hebu linganisha taratibu na muda wa uchaguzi wa wenyeviti wa Chadema na wa hao wa vyama vingine ukiongezea na wale wa UDP, TLP, NCCR, UPDP, n.k.

Kwako ushahidi kwamba Chadema ni cha kidikteta ni kwa kuwa Zitto sio Mwenyekiti? Naona una nye** sana na Chadema kwani kwa siku za karibuni umekuwa ukianzisha viji-thread vya ajabu ajabu sana.
 
Zawadi mgoda andika tena maana naona bado haijatosha.hivi wewe unaujua udikteta?tena unalinganisha na Idd Amini,unamjua au unamsikia na kumsoma kwenye historia?iko hivi mambo ya vyama kama unaona unafanyiwa udikteta umshauri ahamie chama kingine ikibidi hata aende magambani/kwa mafisadi
 
Ukijadili upuuzi utakua mpuuz na mwshowe jibu lake litakua la kipuuz naomba MODS PIGA BAN HAWA MAADUI NAMBA MOJA WA TAIFA HILI KATIKA MAGEUZ YA KIFKRA NA KIUTAWALA

Hivi huna wazo jingine zaidi ya Ban? Na nikipigwa Ban mimi wewe utafaidika nini. Huoni kwamba suala la Mgombea urais toka CHADEMA, ni vyema lijadiliwe muda huu. Au mshindani wa Zitto ni mjomba wako?
 
Anza na CCM ambacho kila ambaye ni kiongozi mtoto pia anafuata nyayo je watoto wao hawawezi kazi tofauti na siasa.
Riz kapita bila kupingwa na Mama Salma je ndio demokrasia unayoongelea au ni ipi hiyo. Majibu tafadhali.
 
Zitto akitaka kupata fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA labda abadili ukanda na kuwa Ukaskazini, bila ya hivyo atasugua benchi na ubunge bila kupandishwa daraja kamwe.

Hawa watu ni wabaguzi na wanakubalika vijijini kwao tu, taifa haliwezi kuunga mkono huu UKANDA HATA KIDOGO.

May I ask ? why Zitto ? why not Msigwa, Why not Sugu ? why not Mnyika ? kwani demokrasia ni kumjali au kumpatia nafasi Zitto tu ? Maana kila niliposikia neno kuhusu UDIKTATA, UKANDA na UKABILA WA CHADEMA ni pale alipokosa fursa Zitto tu ! Mh, I stand to be corrected ! lakini pia nadhani wale wanaompigania Zitto they know what is likely going to happen to CDM in a negative way. Tena nina hakika watu hao wanaopigana usiku na mchana kutaka nafasi yoyote kubwa ndani ya CDM apewe Zitto ni forward line ya upande wa pili na huenda wanatafuta ngome nyepesi. Kwani kwa kuwa na yule Mwenyekiti au Katibu wa sasa kuna ubaya gani ? kama Zitto aligombea akakosa, ni busara kusubili, muda utafika atagombea tena, sijui katiba inasema nini kuhusu vipindi vya uongozi na ukomo wake. kwani mwisho wa hivi vyama ni leo ? why haraka haraka ? Wakati wa uhuru tungesema nyerere ni mtu wa musoma tunataka wa Mtwara, tusingefika. kwa uvumilivu wetu, tulimpata wa Musoma, Tukampata Mzanzibar, Tukampata wa Mtwara, Tumepata wa Bagamoyo and all that. TUNASUBIRI kutoka Tabora au Kigoma, Tumepungukiwa na nini ? Kama Zitto hakuchaguliwa mwanzo, nadhani asubiri tu.
 
Mkuu mleta mada hebu tufahamishe: hivi kwa miaka zaidi ya 50 ya uhai wa TANU/ASP/CCM imewahi kuwa na wenyeviti wangapi na walipatikanaje?

Well, hebu tuachane na wenyeviti wa miaka ya nyuma, aliyepo madarakani leo alipatikanaje? Hebu tufahamishe Mwenyekiti wa CUF aliyepo madarakani leo alichaguliwa lini na kwa utaratibu gani?

Halafu hebu tujuze, kwa miaka 20 ya uhai wa Chadema imewahi kuwa na wenyeviti wangapi? Halafu hebu linganisha taratibu na muda wa uchaguzi wa wenyeviti wa Chadema na wa hao wa vyama vingine ukiongezea na wale wa UDP, TLP, NCCR, UPDP, n.k.

Kwako ushahidi kwamba Chadema ni cha kidikteta ni kwa kuwa Zitto sio Mwenyekiti? Naona una nye** sana na Chadema kwani kwa siku za karibuni umekuwa ukianzisha viji-thread vya ajabu ajabu sana.

CCM- Mweyekiti wa sasa alichaguliwa na mkutano mkuu wa CHAMA.

CUF- Prof Lipumba alimshinda Prof Safari katika uchaguzi mkuu wa chama hicho.

CHADEMA- Mtei alimuachia Mbowe. Na mbowe sijui atamrithisha nani?
 
Demokrasia ya kweli ni lazima ianzie katika vyama vya kisiasa. CHADEMA ni chama pekee katika vyama vikubwa TZ kilichoonyesha uchanga mkubwa wa Demokrasia hususan katika chaguzi za nafasi za juu ndani ya chama hicho.

Mtihani wa kwanza mkubwa ulikipata chama pale Mh Zitto Kabwe alipojitokeza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho. Wahasisi wa chama hicho walifahamu fika kwamba Mh Mbowe asingeweza kumshinda kijana matata na mashuhuri huyo. Ni wazi kuwa ukilinganisha elimu zao ni sawa na mlima Kilimanjaro (Zitto) na kichuguu (Mbowe) sikwambii mambo mengine. Hapo kura ya VETO ikatumika, wajiitao wahasisi au wazee wa chama wakamlazimisha Kabwe ajitoe,-Udikiteta ukatumika.. Wakafanikiwa.

Safari hii CHADEMA wameingia katika mtihani mkubwa zaidi, Kijana huyu ametangaza dhamira yake ya kugombea Urais. Safari hii anataka kumpangua Katibu wake- Mh Slaa ambaye naye anahitaji kugombea Uraisi kwa mara ya pili. Nilikuwa Arusha wiki mbili zilizopita na kuzungumza na wakuu wa ngazi za juu CDM (majina ninayo). Wamesema, huyu kijana ana ndoto za mwendawazimu, ni heri chama kife kuliko Kabwe kupewa nafasi hiyo ya kugombea urais. Hapa najiuliza, hivi watafanya nini? Lakini kama waliweza kumshinyikiza ajitoe kugombea Uenyekiti, nafikiri ni mbinu hizo hizo zitatumika Kumtupilia mbali. Huu ni UDIKITETA MKUBWA KABISA.

Kuna kila sababu ya kumuelewa Mh Sitta alipomwita Mh Slaa "Dikiteta", kwani kinachotakiwa ni uchaguzi wa vidole na sio nguvu za KI-Idd Amini Amini Dada. Na ni katika mazingira haya CHADEMA Ipo katika TEST kubwa sana. Mh Zitto Kabwe kadhamiria, na ametangaza mara nyingi tu Dhamira yake hiyo.

Safari hii ni lazima Vidole vitumike, ama sivyo Tendwa atalazimika kukifuta Chama hicho kwa kukiuka kanuni za vyama vya siasa. Kwa jinsi ninavyowafahamu akina Mtei, watatumia udikiteta na kumtupa nje kabla hajaingia hatua ya vidole. Je, huu sio udikiteta uliokithiri? Na watu kama hawa wakichukua nchi mnategemea nini?

Again Ngoda, Zomba, Tume, e.t.c ...... Must be paid highly, otherwise must be too fool to expose your stupidity like this.
 
Udikteta uko CCM. Hao wagombea wanaopita bila kupingwa ndio madikteta waliotumia vyeo vyao, rushwa na hata vitisho ili kutisha wagombea wengine.
Itakuwaje miaka yote kuna watu wanagombea hizo nafasi iweje leo familia ya mwenyekiti na rais ikose upinzani. Chukua hatua anzia CCM ndio uende upinzani hapo tutakuelewa.
 
May I ask ? why Zitto ? why not Msigwa, Why not Sugu ? why not Mnyika ? kwani demokrasia ni kumjali au kumpatia nafasi Zitto tu ? Maana kila niliposikia neno kuhusu UDIKTATA, UKANDA na UKABILA WA CHADEMA ni pale alipokosa fursa Zitto tu ! Mh, I stand to be corrected ! lakini pia nadhani wale wanaompigania Zitto they know what is likely going to happen to CDM in a negative way. Tena nina hakika watu hao wanaopigana usiku na mchana kutaka nafasi yoyote kubwa ndani ya CDM apewe Zitto ni forward line ya upande wa pili na huenda wanatafuta ngome nyepesi. Kwani kwa kuwa na yule Mwenyekiti au Katibu wa sasa kuna ubaya gani ? kama Zitto aligombea akakosa, ni busara kusubili, muda utafika atagombea tena, sijui katiba inasema nini kuhusu vipindi vya uongozi na ukomo wake. kwani mwisho wa hivi vyama ni leo ? why haraka haraka ? Wakati wa uhuru tungesema nyerere ni mtu wa musoma tunataka wa Mtwara, tusingefika. kwa uvumilivu wetu, tulimpata wa Musoma, Tukampata Mzanzibar, Tukampata wa Mtwara, Tumepata wa Bagamoyo and all that. TUNASUBIRI kutoka Tabora au Kigoma, Tumepungukiwa na nini ? Kama Zitto hakuchaguliwa mwanzo, nadhani asubiri tu.

Hao unaowataja hawajatangaza kuwa wanataka kugombea urais. Si vizuri kumlazimisha mtu anayejihisi hayupo tayari kugombea nafasi nyeti kama hiyo. Pengine nao wanafaa zaidi, lakini tutawajadili pale watapojitokeza au kuonyesha dhamira ya kugombea nafasi hiyo.
 
Again Ngoda, Zomba, Tume, e.t.c ...... Must be paid highly, otherwise must be too fool to expose your stupidity like this.

Niweke wazi kwenye hili la malipo. Silipwi hata senti tano, malipo yangu ni pale nyie mtapogeuka na kuelekea katika muelekeo mzuri, imara na madhubuti. Elewa, mafanikio ya CHADEMA ni mafanikio ya watanzania wote.
 
[akina Mtei, watatumia udikiteta na kumtupa nje kabla hajaingia hatua ya vidole. Je, huu sio udikiteta uliokithiri? Na watu kama hawa wakichukua nchi mnategemea nini?[/QUOTE]

Huna Jipya Ndugu yangu, jitambue nchi yetu Tanzania ili tupate maendeleo tunaitaji Rais Dikiteta, hivyo kajipange upya uje tena.
 
Dah! TUNTEMEKE unatisha! Ilipofungwa ID ya TII ukaja na ID ya PAA. Ilipofungwa ya PAA ukaja na Mtu Kwao. Ilipopigwa Bann na hiyo ukaja na ID ya Mwanahalis. Leo tena umeibuka na ID ya akiba ya Zawadi Ngoda. Inatosha kaka. Ngoja nimpigie simu Mbowe nimwombe basi upangiwe kazi ya Ulinzi pale Makao Makuu. Ile usiibe magazeti ya Chama na kwenda kuyauza kwa wauza maandazi.

Nakala: Molemo, Dudus, nk.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Zawadi mgoda andika tena maana naona bado haijatosha.hivi wewe unaujua udikteta?tena unalinganisha na Idd Amini,unamjua au unamsikia na kumsoma kwenye historia?iko hivi mambo ya vyama kama unaona unafanyiwa udikteta umshauri ahamie chama kingine ikibidi hata aende magambani/kwa mafisadi

Sibagui, wote muandikao nitawajibu, tena nitawajibu kwa adabu kwa sababu nawaheshimu wote.

Unajua, ni bora Idd Amini alikuja na kuonyesha sura yake moja kwa moja. Kumbuka Adolf Hitler( alificha makucha yake) alichaguliwa kwa vidole, lakini alipopata wote walimtambua kuwa ni Dikiteta wa kutupwa. Sasa hawa wanavaa ngozi ya kondoo ndio wabaya sana.
 
CHADEMA- Mtei alimuachia Mbowe. Na mbowe sijui atamrithisha nani?[/QUOTE]

Ninyi watu wa Kigoma mnamatatizo sana.
 
Demokrasia ya kweli ni lazima ianzie katika vyama vya kisiasa. CHADEMA ni chama pekee katika vyama vikubwa TZ kilichoonyesha uchanga mkubwa wa Demokrasia hususan katika chaguzi za nafasi za juu ndani ya chama hicho.

Mtihani wa kwanza mkubwa ulikipata chama pale Mh Zitto Kabwe alipojitokeza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho. Wahasisi wa chama hicho walifahamu fika kwamba Mh Mbowe asingeweza kumshinda kijana matata na mashuhuri huyo. Ni wazi kuwa ukilinganisha elimu zao ni sawa na mlima Kilimanjaro (Zitto) na kichuguu (Mbowe) sikwambii mambo mengine. Hapo kura ya VETO ikatumika, wajiitao wahasisi au wazee wa chama wakamlazimisha Kabwe ajitoe,-Udikiteta ukatumika.. Wakafanikiwa.

Safari hii CHADEMA wameingia katika mtihani mkubwa zaidi, Kijana huyu ametangaza dhamira yake ya kugombea Urais. Safari hii anataka kumpangua Katibu wake- Mh Slaa ambaye naye anahitaji kugombea Uraisi kwa mara ya pili. Nilikuwa Arusha wiki mbili zilizopita na kuzungumza na wakuu wa ngazi za juu CDM (majina ninayo). Wamesema, huyu kijana ana ndoto za mwendawazimu, ni heri chama kife kuliko Kabwe kupewa nafasi hiyo ya kugombea urais. Hapa najiuliza, hivi watafanya nini? Lakini kama waliweza kumshinyikiza ajitoe kugombea Uenyekiti, nafikiri ni mbinu hizo hizo zitatumika Kumtupilia mbali. Huu ni UDIKITETA MKUBWA KABISA.

Kuna kila sababu ya kumuelewa Mh Sitta alipomwita Mh Slaa "Dikiteta", kwani kinachotakiwa ni uchaguzi wa vidole na sio nguvu za KI-Idd Amini Amini Dada. Na ni katika mazingira haya CHADEMA Ipo katika TEST kubwa sana. Mh Zitto Kabwe kadhamiria, na ametangaza mara nyingi tu Dhamira yake hiyo.

Safari hii ni lazima Vidole vitumike, ama sivyo Tendwa atalazimika kukifuta Chama hicho kwa kukiuka kanuni za vyama vya siasa. Kwa jinsi ninavyowafahamu akina Mtei, watatumia udikiteta na kumtupa nje kabla hajaingia hatua ya vidole. Je, huu sio udikiteta uliokithiri? Na watu kama hawa wakichukua nchi mnategemea nini?
Kwani kanyimwa kugombea? Wacha unafiki na uchawi.
 
[akina Mtei, watatumia udikiteta na kumtupa nje kabla hajaingia hatua ya vidole. Je, huu sio udikiteta uliokithiri? Na watu kama hawa wakichukua nchi mnategemea nini?

Huna Jipya Ndugu yangu, jitambue nchi yetu Tanzania ili tupate maendeleo tunaitaji Rais Dikiteta, hivyo kajipange upya uje tena.[/QUOTE]

We acha tu, Ukishaonja Demokrasia Udikiteta hauna nafasi tena. Ni ndoto za mwendawazimu kufikiri kuwa Mtu yeyote anaweza kuitawala Tz kidikiteta. Atachofanikiwa ni kuchafua nchi tu lakini kukaa hatakaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom