Ushahidi wa Aviator Hack

Ushahidi wa Aviator Hack

contask

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
923
Reaction score
1,900
Habari yenu wana JF,

Nipo hapa kwa ajiri ya kutokea ushahidi katika uzi ambao niliutoa "AVIATOR HACK TRICK" wengi wao walikua wanakataa kua haiwezj kufanya kazi, kabla sijaendelea ningeomba kukujulisha au kukumbushwa kwamba katika hii dunia hakuna kitu kinachohusiana na kutengeneza pesa bila kua Na risk, na ushahid nimekuja nao hapa kuwaambia nimeitumia siku tatu na hadi leo nimefanikiwa kutengeneza 109000 ndani ya siku tatu.

KWA AMBAE AAMINI AJE PM TUKUTANE WHATSAPP KWA USHAHID ZAIDI

超级截屏_20231024_104117.png

超级截屏_20231023_160609.png

超级截屏_20231023_094043.png

超级截屏_20231023_091619.png
 
Hiyo ni bahati yako tu mzee, ila hao waliobuni huo mchezo walitulia sana pia kumbuka ni wazungu hakuna cha hack wala huck hiyo ni bahati yako😁
 
Kwa wapenzi wa michezo, ni kawaida kufuatilia/kujua sports betting na online casinos.

Nimeshazunguka sana kwenye social media groups za online casinos hasa ya aviator. Kiukweli hakuna cha sure signal generator, admins wanawatafuta wajinga wawapige.

Ukiona unaitiwa fursa, ujue watu wanataka wakufanye mtaji.
 
we komaa tu mwenyewe na aviator yako kuna siku utanunua jet ile yenyewe ya ukwel kwa ajili ya safari zako za apa na pale,lakn kwanini usiihack ikamaliza kwny odd ya laki 3 na muda huo umeweka elf 10?
 
Back
Top Bottom