Ushahidi tuhuma za January Makamba


I see unakazi ngumu ya kujifunza kiswahili....!!!!!
 
Kwa hiyo picha imeisha ? Hakuna cha adui wali stelingi kufa....doooh
 
kwa hali kama hii, ni vyema tukaruhusu wenye facts na evidences zaidi washindane kwa kuziweka hadharani.
mimi ni muhanga wa haya mambo ya kukashifiana na kushambuliana hasa mitandaoni...hivyo naenda kw step sana

Acha kutufanya watoto..we mfate Mhe. ukachukue ujira wako
 
fisadi lowasa ana sifa ya kuwa kiongozi?

Hivi ndani ya CCM hakuna MAFISADI???Hao wezi wa mali za umma wameletwa na Lowassa??Waliokwapua ESCROW Lowassa yumo??

Kama UFISADI siyo sifa ya kuwa kiongozi basi Chenge,Anna Tibaijuka na wengine ndani ya CCM hata ubunge wasingeupata,lakini sababu ndani ya CCM UFISADI na ULAJI rushwa ipo ndani ya ILANI ya uchaguzi,usimsingizie Lowassa.

Wanasema usimtendee mtu kitu usichopenda kutendewa wewe,kama ambavyo hupendi wengine pamoja na wewe muitwe MAFISADI basi usimnyooshee kidole mtu ambaye hata kukujibu hata kujibu.

Kamuulize Mr.Dhaifu aliyekwepuea PESA za ESCROW ni nani??
 

Kweli kiswahili ni kigumu!
Taaluma= Tahaluma
Maalum= Mahalumu

Mmmmmmmh, kazi kwelikweli!
 
Hivi sheria ya mtandao hairuhusu kumshitaki huyu mtu aliyepost tuhuma hizo?
Story za kusafishana tungeziacha ziishie serikali ya awamu ya nne,hii
inayoitwa "hapa kazi tu" sheria iliyotumika kubomolea wanaoishi mabondeni
na hapa itumike kwa mleta tuhuma.Vinginevyo umma utaamini kile
kilichosemwa na mleta tuhuma.Ni mahakama pekee itaisafisha familia
ya makamba kwa kuthibitisha ushahidi wa mleta tuhuma kuwa ni wa kughushi
vinginevyo tunaamini ni ukweli mtupu,sheria hipo na ni msumeno.

Huyo muitaliano anaweza kuogopa kufutiwa kibali cha kuingia hapa nchini
endapo atashindana na samaki wakubwa,hivyo maneno yake
hayawezi kufuta tuhuma kirahisi hivyo.Ni maoni yangu lakini.
 
ina itaj huwe na akili za mwendawazimu kumtetea marope kwa hili na kama mnadai chuki sawa sikatai ila wakati mwingind chuki zina faida maana huwez weka wazi machafu ya mtu unayempenda.. ila kikubwa tujue ni kwel au sio kwel? me swala la mzungu kujifanya anaomba radhi kwangu haliniingia akili hata kidogo mana wakat analalama twiter sizan kama alikuwa kalewa na pili swala kama hili sio la kitoto huwez weka hazarani kashfa za uongo coz kuna maakama na sheria za mitandaoni tena kubwa kama hili yeye marope kama kasingiziwa kuna mahakama aende huko full stop... mtoa mada samahani ila naona unakula ujira wa bure kwa marope huna la kumsaidia
 
Morally kijana huyu ni mfilisi. Anasimulöia jinsi dada yake anavyohanishana na wanaume, sijui matapeli, sijui wanafanyaje, n.k. Dada akihongwa naye anapata mgao! Morally, terribly dead!
 
kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…