Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

Majini yote ni maovu hakuna jini jema!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Hapana. Majinni ni viumbe vilivyo na matamanio kama binaadam, wako waovu na wako ambao si waovu.

Ni majinni siyo "majini", "majini" inamaanisha kwenye maji.
 
Ctaki kuamin kama mpaka leo watu wana akili kama ya huyu mtoa maada. Uwo wote ni woga wa hukumu tu.
 
binafsi naamini haya mambo yapo yamefichwa na aliyetuumba ili tuyatafute wenyewe na tukishayajua ndo tunaona how amazing our Creator is.
 
hapo ndo sijajua kwamba je nilijuaje taarifa zote hizo wakat hiyo ajali ndo kwanza nilikuwa naiona

Na je kama kuna doughty ulisha wah kuishi...... Vp.... Mazngira yalkuwa hayo hayo na tangu miaka hiyo dunia haijabadilika.? Au ndo kila kitu kilikuwepo?
 

Je kama unapo kumbuka mazngira flan angal hukuwah kufika awali hapo unaanza kuamin hiyo theory kwamba ulisha wah kuishi before..... Je mazingira hayakubadilika kulingana na muda au na mazingira yalkuwepo ila yanajirudia tu?
 
Haya ni maneno ya waogopoa kukutaba na mola wao,na si kwa sababu nyingine bali wanaogopa kukutana na waliyoyatanguliza kwa mikono yao.
 
Na je kama kuna doughty ulisha wah kuishi...... Vp.... Mazngira yalkuwa hayo hayo na tangu miaka hiyo dunia haijabadilika.? Au ndo kila kitu kilikuwepo?

kiukweli mimi napata flashbacks tu pale napopita mazingira yanayofanania na tukio husika ila sikumbuki kwa mimi nilikuwa vp
 

Naked truth. It happens to me too.. What is it??
 
dunian hakuna loho inayopotea ukifa roho inaamia kitu kingine kama ulikuwa mkali na katil ndio hao simba roho mbaya nyoka wivu sana mbwa myenyekevu paka.
 
hivi vitabu vya zamani viaharibu sana akili za watu.
zamani inaanzia wapi?
Je? Wajua maandiko yaliyoandikwa miaka 700 yalikuja kuthibitika tena miaka 700?
Tena bila shaka yeyote? Na jee? Hii nayo ni zamani? Tilia mkazo kwa uzi huu juu ya anthony cicoria(kama ref.)
 
Mfano mzuri ni kuwa: Ukiwa unaota ndoto maisha yako ya sasa unayaona kama yalikuwa ni ndoto na maisha ya ndoto ni ya kweli. Ukiwa kwenye ndoto unaexperince reality sawa na hii unayoexperience hivi sasa. Ukiamka kwenye ndoto unashangaa ni jinsi gani ulivyoweza kuamini kwenye ndoto kuwa yale ndio yalikuwa maisha yako na haya maisha yalikuwa ni ndoto. So what is reality???????


Ukifa unazaliwa tena au Reincarnation haina maana ya kuwa ukifa unazaliwa tena papo hapo, hapana. Ina maana ya kuwa unaweza ukazaliwa katika form mpya ya uhai kulingana na thoughts zako za sasa au unaweza kubakia katika formless, matendo yako ya sasa, na speech zako za sasa. Lengo la maisha ni kujitambua, na kama hautajitambua utaendelea kuzunguka katika mduara wa maisha milele na milele mpaka utakapojitambua na kujiweka huru katika kufa na kuzaliwa. Ndio maana wazee wa kale walisema hukumu ni hapahapa duniani na kama sio katika maisha haya basi katika maisha yajayo utapata unachostahili. Lengo la maisha ni kusonga mbele katika kujifahamu na kujiweka katika njia kuu inayopaswa.

Pia ukifa sio lazima uzaliwe tena, kuna kipindi cha muda ambacho kinakwepo baada ya kufa na kabla ya kuzaliwa tena. Kipindi hicho kinategemeana pia na maisha yako ulijitumikia vipi.

Mfano mzuri ni majini ambayo wengi wanayaona. Kwa kifupi majini yaliwahi kuwa mwanadamu kama wewe, na wengine walikuwa ni wanadamu ambao walijishikilia katika tamaa za mwili na siku wakiiacha miili yao baada ya kifo wanashindwa kuondoka kwani wanashikiliwa na miili yao na hawana jinsi tena ya kujiondoa. Mwishowe wanazunguka kaburi lao na ndio panakuwa maisha yao, halafu baada ya kipindi fulani cha muda kupita kutegemeana na Karma yao wanazaliwa upya katika form nyingine na kuendelea na gurudumu la maisha.

Mwanadamu peke yaken ndio mwenye free will. Mwanadamu ndiye mwenye uwezo wa kubadili maisha yake kwa sasa na kujitambua. Unaweza kujitambua ukiwa mwanadamu tu na sio form nyingine ya life. Only human beings have the power to rule wakijifahamu kwanza.

Pia ukizaliwa tena ua ukianza life jipya huwezi kukumbuka life lako la zamani lakini kwa kutumia instincts, kujichunguza, unaweza kugundua kuwa ulishawahi kuexperience life fulani ambalo hivi sasa haupo nalo.
 
Vp mbn wote hao ulo 2ambia ni wadhungu tu!?
 
Mi Kuna sehemu Hua inanijia kichwani na huiota lakin sijawah fika,lakin hiyo ndoto hujirudiaa nipo hiyo sehemu ya kizamanii ,kwa hiyo nami nishawah kufa au???
 
Mi Kuna sehemu Hua inanijia kichwani na huiota lakin sijawah fika,lakin hiyo ndoto hujirudiaa nipo hiyo sehemu ya kizamanii ,kwa hiyo nami nishawah kufa au???


😂😅 ahhahhhhha asee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…