rebeccamrema
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 334
- 196
Mkuu usidanganywe. Hakuna mauziano yaliyofanyika baina ya Mechmar na hao Piperlink. Mechmar wamiliki wa 70% ya hisa za IPTL walifilisiwa tangu 2005 na mali zao ikiwemo hiyo mitambo ya Tegeta kuchukuliwa na wadai Danaharta ambao nao baadaye waliwauzia Standard Chartered ya Hongkong.Hayo Malipo ni Kwa mkataba wa kughushi walitakiwa kulipa kwa bei halisi waliyonunua matapeli kabisa hao
Mkuu usidanganywe. Hakuna mauziano yaliyofanyika baina ya Mechmar na hao Piperlink. Mechmar wamiliki wa 70% ya hisa za IPTL walifilisiwa tangu 2005 na mali zao ikiwemo hiyo mitambo ya Tegeta kuchukuliwa na wadai Danaharta ambao nao baadaye waliwauzia Standard Chartered ya Hongkong.
Huyo mwizi Singa akibanwa tutajua mhusika mkuu hasa ni nani.
kwenda zenu matapeli wakubwa. ducuments zote hizo za kugushi. tuna imani kubwa na cag,...wezi wakubwa.Imefahamika kuwa IPTL ililipa ushuru wa stamp Duty kwa TRA kama ilivyotakiwa kufanya kutokana na Mauzo ya Hisa kutoka Mechmar kwenda PIPERLINK INVESTMENTS LTD na Kutoka Piperlink Kwenda PAN AFRICA POWER SOLUTIONS (PAP), PAP Ililipa malipo ya Ushuru TRA wakati wa mauzo hayo ya hisa
Malipo hayo ilikuwa kama ifuatavyo:
1.Kutoka Kampuni ya Mechmar kwenda PIPER LINK INVESTMENT ltd IPTL ililipa kiasi cha Tsh 95,940,000/= kama malipo ya ushuru wa Stamp kwenda TRA.
2. Kutoka kampuni ya PIPERLINK INVESTMENT ltd kwenda PAN AFRICA POWER SOLUTION (PAP),IPTL/PAP ililipa kiasi cha Tsh. 315,200,000 kama malipo ya ushuru wa Stempu yaani Stamp Duty
Hivyo basi kufanya jumla ya Malipo ya Stamp Duty kwa kampuni hizo kuwa jumla ya Tsh 411,140,000.(Tazama Viambatanisho)
Kwa Ushahidi huu nachelea kujiuliza maswali mawili
1. Je CAG alipotoshwa au aliamua kupotosha Umma kwa makusudi kuwa mauzo ya Hisa kati ya kampuni Mechmar kwenda PIPER LINK na mauzo ya hisa kati ya Piperlink kwenda PAP hayakulipiwa ushuru wa stempu (Stamp Duty)
2. Je Ripoti ya PAC ilipotoshwa au iliamua kwa makusudi kupotosha umma juu ya suala hili?
Imefika wakati sasa viongozi wetu hasa wa kisiasa kuacha kutumia uongo na kupotosha umma ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa katika mambo yenye maslahi mazito kwa Taifa letu hasa sekta ya Nishati.
Napenda kuwasilisha.
View attachment 206418
View attachment 206419
View attachment 206420
View attachment 206421
View attachment 206422
View attachment 206423
View attachment 206424