Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,177
- 7,699
Achana na kitu inaitwa faranga mkuu!! Refer yuda iskarioti!!Kabla ya Mkataba huu niliamini Wazanzibar wote ni wacha Mungu na Wana hofu ya Allah, kumbe Nilikuwa najidanganya. Wapo waongo, Wanafiki, Wazandiki na hata Wazushi.