Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 3,762
- 11,121
Jamani mwenye huo mkataba naomba
Mpuuz mmoja anaitwa Hamza johari ndie aliyeendesha majadilianoHuo mchakato ulifanyika lini? Na ulifanyikia wapi? Nani walioshiriki kwenye huo mchakato?
Waziri anatakiwa atoke na full information siyo haya maelezo ya kudunduliza moja baada ya jingine here and there.
Watanzania ni maneno tu hkuna action yoyote ona kenya unga tu Ila ruta kafayta mkiaa na ubabe wakeWatanzania si wajinga ,waTZ enzi za nyerere si wasasa ,ukitaka kuongea na waTZ wasasa inabidi ujipange ,ukileta uongo uongo utaambiwa ukweli........Rushwa ya Mwarabu inabidi muirudishe au mbadili vipengere vibovu kwenye mkataba ,IGA ndiyo kila kitu kama mkipuyanga kwenye IGA hata huko kwenye HGA hamtoboi.
Usingepelekwa kama Ile mingine 21, maana nasikia ilikuwa 22,Sasa jiulize hiyo mingine ilipelekwa lini?najiuliza, kama mkataba usingevujishwa ungepelekwaje Bungeni kupitishwa? si ni lazima ulikuwa uwe hadharani kwa vyovyote vile?
JESUS IS CHRIST
Mkataba umevujishwa huo,hapakuwa na mpango wa kuuweka wazi.Hayo makampuni Atayatoa wapi Mkuu. Ukitaka kujua Ni hujuma na rushwa za kitoto.
Kwanini hili swala limeibuka mwaka huu wakati walisaini toka mwaka Jana mwezi wa kumi na ikifika wa kumi mwaka huu Ni mwaka? Kimya Cha karibu miezi 6 kilikuwa Chanini Kama walichokifanya Ni sahihi na Ni haki?.
Hujui kitu unabisha,😁😁Acha fix
Pre-qualification bid inafanyika bila tender announcement? Una bid nini kama hujatangaziwa? Yaani wewe unatoka kwako unakwenda kumwambia Bidder Nataka uje kwangu uwekeze hiki, mkataba mnafungia huko huko kwake. Hiyo aliyofanya ndo wewe unaiita pre-qualification bid?Pre qualification bid unaijua?
Ulipotea sana. Nenda kaishi kule visiwani hutoaminiKabla ya Mkataba huu niliamini Wazanzibar wote ni wacha Mungu na Wana hofu ya Allah, kumbe Nilikuwa najidanganya. Wapo waongo, Wanafiki, Wazandiki na hata Wazushi.
Purpose of prequalificationShortlist yaani unaalika wachache walete quatatio bila kuweka tangazo public
Duh! Asante Mkuu. Nimewahi kukaa miezi 2 kasoro kumbe nilijidanganya.Ulipotea sana. Nenda kaishi kule visiwani hutoamini