Mwl Philemon
Member
- Nov 29, 2018
- 64
- 70
hii ndio dawa yao lakini Azam nao wajinga sanaDawa ILITAKIWA Azam awe anafanya vizuri. Msipo Huu mgawanyiko wa u Simba na U yanga utakufa.
Mfano south Africa .
Kaiiser CHEEF
Na orando pirates ndio watani WA jadi.
Ameibuka MAMelody miaka 10 yote hawana UBINGWA psl
uzalendo kwenye timu ya taifa sio klabuHicho ni kipimo Cha IQ, unashindwa kuelewa kuwa ni Tz imecheza na sio Yanga. Uzalendo uko wapi?
Yanga sio Taifa stars tutolee ashuo hapaaaHicho ni kipimo Cha IQ, unashindwa kuelewa kuwa ni Tz imecheza na sio Yanga. Uzalendo uko wapi?
.Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu.
Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio yasiyo ya kuvutia kwa wanamichezo wa kweli. Lilianza la Ali kamwe kumshambulia kwa maneno ya kejeli Kocha Juma Mgunda jambo ambalo si la kimchezo. Kama Ali ana chuki binafsi na Mzee yule angetafuta namna nyingine kumtusi au kufikisha ujumbe wake si Timu yetu pendwa.
Na pili ni hili la Mashabiki wa soka kushangilia kwa furaha kifo cha shabiki mwingine kisa ni shabiki wa timu nyingine huu si mchezo wala utani wa jadi bali ni uadui na chuki inayoendelea kujengeka ndani yetu. Lisipokemewa litakuja kuleta maafa makubwa baadaye.
Tubadilike huu ni ushamba katika michezo. Kama huna cha kufurahia kwenye mechi fulani achana nayo. Kama huna cha kujifunza kwa mwingine achana nae.
Haya majibizano ni upuuzi mtupu
Wewe unasimamia wapi?Ally Kamwe kakataa uzalendo na mamlaka azijaona tatizo wala kumsihi anavyofanya sivyo,ona sasa kilichowapata.
Wewe unasimamia wapi?
Kama haikuhusu unaifuatilia ili iweje?Yanga sio Taifa stars tutolee ashuo hapaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtajuana na matimu yenu ndio maana Huwa sishabikii ila tuu kwenye michezo ya Kimataifa..Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu.
Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio yasiyo ya kuvutia kwa wanamichezo wa kweli. Lilianza la Ali kamwe kumshambulia kwa maneno ya kejeli Kocha Juma Mgunda jambo ambalo si la kimchezo. Kama Ali ana chuki binafsi na Mzee yule angetafuta namna nyingine kumtusi au kufikisha ujumbe wake si Timu yetu pendwa.
Na pili ni hili la Mashabiki wa soka kushangilia kwa furaha kifo cha shabiki mwingine kisa ni shabiki wa timu nyingine huu si mchezo wala utani wa jadi bali ni uadui na chuki inayoendelea kujengeka ndani yetu. Lisipokemewa litakuja kuleta maafa makubwa baadaye.
Tubadilike huu ni ushamba katika michezo. Kama huna cha kufurahia kwenye mechi fulani achana nayo. Kama huna cha kujifunza kwa mwingine achana nae.
Haya majibizano ni upuuzi mtupu.
Kwenye ushabiki wa mchezo wa mpira wa miguuWewe unasimamia wapi?
Nani anaifuatilia sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama haikuhusu unaifuatilia ili iweje?