Usemi wa Zito kwa Spika umenikumbusha mbali sana mambo ya Udsm

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kwa wale mates
mnakumbuka kamchezo alichokuwa akituchezesha zito na wenzake pale udsm kudai posho iongezeke
mpaka ikaongezeka kudai pesa za afya zilipwe kwetu na si kujilipa chuo mpaka tukaanza kulipwa kilo
yaani laki..nakumbuka huyu kijana alisoma kwa shida sanaila kila mgomo zito kasimamishwa karudishwaje
sijui wenzie wanaondolewa kabisa miezi kadhaa mgomo serikali ya chuo ikapanga kumfukuza kuna sheria
ya kutoingia darasani maratatu mfululizo tukawa tunagoma siku mbili ya tatu tunaingia .inayofwata tunagoma aaaahaaa wacha bana walipata shida na kile kikosi mwisho wa siku nilijua kijana anakuja kuwa kama yussuf wa kwenye baibo
kama mnakumbuka aliota ndoto atakuwa wazirimkuu atawatawala wazazi na ndugu wote apo ndipo alipoaribu ndugu wakataka kumuua wakashindwa wakaamua kumuuza na baada ya miaka 30 akawa waziri mkuu leo hii zito analikmbiza bunge lililokuwa limejaa walafi na wazandiki wa ccm wasiotaka kujua kikomo chaubunge....leo hii zito anawakumbusha sheria zinasema vikao 3 mfululizo sio anavyosema makinda .anna

wazo
nahisi kuna umuhimu sana wa mama makinda kwa kuwa shule ushamalizana nayo jaribukila saa kupitia vifunngu vya sheria za bunge..alinifurahisha kimeo mmoja anajiita ndugai akaulizwa unakauli gan juu ya mkulo kudanganya bunge wakati kenye maandishi tofauti na alichosema akadai mie nafwata alichoongea na akuna mabadilko hata kwenye ansad imerekodi t ayari wewe ndunga wewe umesomea wapishule yako
 
Huyo mama nni kilaza mpaka inatia uchungu, CCM bwana hawaoni hata aibu bunge linavyovurundwa! tutamkumbuka mzee 6 wa VIWANGO hahahahah
 
Yule alikuwa nyoka wa wapinzani ingawa alikaribia kula ganda la chadema bahati yake ashukuru umoja wa east africa kuwepo
 
Ohh, sijui hili Bungu letu lina Demokrasia kiasi gani?!! jana kwenye saa moja usiku na kuendelea nilipata bahati ya kuangalia Bunge live nikakuta Waziri Wasira akitoa majibu kwa wabunge kupitisha mpango wa miaka mitano. Baada ya Wasira kumaliza, spika akasema ntawahoji ili kupitisha hoja. Mbunge Mnyika akaomba mwongozo wa spika akakoti kipengele kwenye katiba kinachosema mpango wa serikali inabidi uanzie bungeni ... akanukuu kanuni za bunge akasema kanuni ziko kimya kwenye ishu ya mpango kama huu akasema hali ikiwa hivi bunge linatumia desturi na kwa desturi baada ya mtoa hoja kuwakilisha hoja yake upande wapili wenye hoja tofauti (Wapinzani??!!) wanapewa mda nao wawasilishe hoja/moani yao kabla ya hoja inayowakilishwa na serikali haijahojiwa na kupitishwa. Mnyika akaomba hata dakika tatu au tano. Spika akasema no, mmeshazungumza maoni yenu yamechukuliwa. akawahoji hoja ikapita. Baada ya hoja kupita kwa wingi wa waliosema NDIOOOOO Mbunge Olesendeka akaomba muongozo wa Spika akitaka kujua maoni/mawazo yaliyotolewa na wabunge yataingizwa kwenye kwenye mpango/hoja iliyopitishwa au hoja/mpango huo utaendelea kusomeka jinsi ulivyo. Sikumbuki vizuri Spika Makinda alijibuje ila nadhani alimaanisha yataangaliwa.


Swali langu ni hili: Nani atakaefuatilia kujua hizo hoja za wabunge ambazo zilitolewa zitaingizwa kwenye huo mpango na kubadilisha baadhi ya maeneo?? kwanini wasingejadili na kubadilisha, kuingiza au kupunguza baadhi ya mambo kwenye huo mpango alafu ndo waupitishe??!!! Who will be accountable if the change proposed by MPs won't be incorporated in that five years plan??!!

Ohhh, hapa ndo namkumbuka Mheshimiwa fulani aliyewai kusema miaka ile ya bunge la 2000 hadi 2005 kama sijakosea kwamba "Bunge ni kama mchezo wa kuigiza". ilikuwa ishu za budget kwamba mbunge anaamka analalamika sana alafu anamalizia kwa kusema naunga hoja mkono kwa asilimia mia moja. kazi tunayo wandugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom