Useless people in Useless Country

Useless people in Useless Country

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,

Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,

Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.

Cc Zero IQ
 
Nani huyo unayemuongelea, nachoona mimi kuna taasisi yenye mkono mrefu kuliko unavyodhani ikifanya kazi.
 
Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,

Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,

Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.

Cc Zero IQ
Tanzania ina useless people wengi especially,ccm members and supporters wao kazi yao kubwa ni kusifu na kuabudu ujinga na upumbuvu wowote wanaokalilishwa na wajanja wachache every after 5 years
 
Kila nchi hupata viongozi walio stahili yao.
Tulikuwa na Mwl wakati ule na ndiyo ilikuwa stahili yetu.
Sasa tupo awamu ya tano. Tunae wa sasa kwa maana ndiyo stahiki yetu.
Kama tunadhani sio stahiki yetu, uamuzi u mikononi mwetu.
Madaraka yanatokana na wananchi inasema katiba yetu.
Tusuke au tunyoe.

Viongozi wa UVCCM wameanza kauli kama zile za Rwanda kabla ya genocide. Tunaelekea huko kwa speed kubwa. Bahati mbaya, si kwamba ni wa huko huko tu, bali ni ndugu zake.
 
Kila nchi hupata viongozi walio stahili yao.
Tulikuwa na Mwl wakati ule na ndiyo ilikuwa stahili yetu.
Sasa tupo awamu ya tano. Tunae wa sasa kwa maana ndiyo stahiki yetu.
Kama tunadhani sio stahiki yetu, uamuzi u mikononi mwetu.
Madaraka yanatokana na wananchi inasema katiba yetu.
Tusuke au tunyoe.

Viongozi wa UVCCM wameanza kauli kama zile za Rwanda kabla ya genocide. Tunaelekea huko kwa speed kubwa. Bahati mbaya, si kwamba ni huko huko, bali ni ndugu zake.
Umenena vema sanaaa
 
Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,

Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,

Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.

Cc Zero IQ
Unamzungumzia Mzalendo asiyependa kukaguliwa??
 
Mgawanyo wa madaraka ni jambo la msingi sana limeanzia kwa Mungu kwa asili ndio maana kuna malaika mbali mbali wenye majukumu mbalimbali katika kujenga na kuimarisha ufalme wake. Ili kuleta ufanisi katika utenda kazi kwa maslahi mapana ya utawala lazima kuwe na mgawanyo wa majukumu. Na mgawanyo huu unaanzia kwenye ngazi za juu hadi za chini.
 
Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.
Inaonekana umeandika huu.upupu baada ya kutoka kulia sana kutokana stress
Mgawanyo upi unaongelea wewe?
Kila nchi lazima iwe na kiongozi mkuu awe rais,mfalme,malkia au waziri mkuu,kauli yake ni final.Sijawahi kusikia.kuna nchi kila mtu ana sauti.kisa mgawanyo wa madaraka
 
Hao useless people katika useless country hufanya kuwe na useless thread .
 
Sisi tuna malaika mkuu ,mambo ni oneman show plus fonti fedi no delegation of power .we are on the wrong truck ,but the want us to believe ,we are on the right truck .
 
Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,

Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,

Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.

Cc Zero IQ
Hili tunalopitia ni somo kubwa sana. Kuwa na Rais ambae hajui historia, uchumi wala siasa. Na hataki kujifunza sababu anajiona mwerevu sana (know it all). Anataka aturudishe kwenye system za Marxism na communism ambazo zimeshafeli na popote pale zinafeli.

Communism/socialism only works with dictatorship, but what happens when the dictator dies or is overthrown? Chaos ensues, example Yugoslavia, USSR, Burkina Faso to mention but a few.

Tatizo tuna mtu anaedhani anajua kila kitu
 
Tanzania ina useless people wengi especially,ccm members and supporters wao kazi yao kubwa ni kusifu na kuabudu ujinga na upumbuvu wowote wanaokalilishwa na wajanja wachache every after 5 years
Naona leo hujanywa Konyagi kabisa,unaongea point tupu
 
the mind sees what it has...erased slates sees nothing.. I see you belong in this subcategory
 
Huwezi kumpa mtu mmoja Nguvu ya kutoa Maamuzi ya Zaidi ya watu milioni 40 alafu utegemee haki/Usawa pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka,

Uwajibikaji ni pamoja na kuwa na mgawanyo wa madaraka,pasipokuwa na mgawanyo wa madaraka hakuna uwajibikaji,

Nchi za Dunia ya kwanza zimeendelea kwa sababu kuna mgawanyo wa madaraka.

Cc Zero IQ
Mdogo wangu Zero IQ please ishia kwenye jukwaa letu pendwa la mahusiano mapenzi na Urafiki please please usijiingize kwenye politics
 
Back
Top Bottom