Habari mrembo…nilivyoina likes kutoka kwa ELIKANA halafu na ID yako inaonekana kwa paja la kichaga lililojazia nikakukumbuka sana.
HUWA NINAFUATILIA MADA ZAKO.
Kama ya yule jamaa aliyemwambia mzazi mwenzie kuwa “mtoto atakapofikisha miaka saba nitamtafuta” at the end hakumpata mtoto wala mama,wote walishakimbia dunia.
Anyway i missed you much mlimbwende,ni heri kuuona uwepo wa uhai wa Id yako.
MAMBO SWEETIELADY?