Useful Dog Tricks 3 performed

Yaani mbwa mchapa kazi huyo alafu ana heshimaaa
Anaheshima? wee jaribu kumvuta mkia kama hukupanda juu ya mti bila kujijua ulipandaje, ila kwa kazi akitumwa na mwenyewe ni mtiifu haguni wala habishi
 
Yaani nimejifunza kitu cha tofauti sana MziziMkavu, Mwenyezi Mungu katupa uwezo mkubwa sana binadamu nadhani hatutumii hata robo yake. Kama mbwa anaweza kujifunza na kufanya hayo yote binadam si anaweza fanya maajabu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…