Used washing machine

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Wakuu wa nchi natafuta machine ya kufulia nguo please iwe imetumika wakuu Wangu.au kama ziko za mtumba Wapi naweza Pata jamani.
 
Mkuu washing mashine zina size ya uwezo wa kufua nguo wameweka kwa Kg...zipo za 7kg,10kg,15kg na kuendelea unataka ya Kg ngapi au jina gani! angalia bajeti yako ipoje unaweza ukanunua used kumbe ungepata mpya tuu...
 
Nimependa haya majibu.

jf wakati mwingine ni kama familia moja....kusaidiana kwa kuelemishana.
 
Sikushauri ununue used unaweza pata mpya kwa bei nzuri tu, sijui kama una familia au la ila mashine ya kg 7 inatosheleza kwa mtu bachelor au hata mwenye familia ndogo
 
Wakuu wa nchi natafuta machine ya kufulia nguo please iwe imetumika wakuu Wangu.au kama ziko za mtumba Wapi naweza Pata jamani.
Screenshot_2016-12-19-10-49-38.png
 
Hivi wakuu hii kitu hula umeme sana au? Nafikiria kuiingiza kwangu lakini nikicheki muda utumikao kufua up to 2:40 hours (kutegemeana na nguo) napata ukakasi. Nijuzeni wapendwa.
 
Mkuu Isanga hiyo amount iliyoonyeshwa hapo kwa washing machine ni ya wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom